Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

Hao kina mwa wanacheza na soko,soko linalolipa kwa sasa ni kuwauzia bidhaa wajinga.
Media zinalipa kwa kutoa Habari za kijinga.
Waganga uwaibia wajinga wasiotaka kutafuta maarifa ya majibu ya matatizo yao
Kina mwa wanawaibia wasiotaka kusoma maandiko.
 
Mwafrika anakwenda kanisani kwa sababu hana ajira,ndoa,akishavipata hivi anakata mguu anasingizia bize,akishapata alichofata kanisani anakuacha Mungu.mzungu anaenda kanisani kumuomba MUNGU apate utulivu na amani ya moyo na sio kuomba sijui uchumi,ajira,mke au mme kule hivyo vipo tayari.
 
Tuambie je G WAGON?, kuna watu hawana LC 300 lakini wana Scania R420 10😀😀,au wamiliki wa daladala wote unawaona wachawi?

Kuna pastor wa Kenya aliwahi kusema KUNA LEVELS YA UTAJIRI HAUWEZI BILA NGUVU ZA KIROHO,

NAWE UTAMWABUDU BWANA MUNGU WAKO MAANA NDIYE AKUPAYE NGUVU ZA KUPATA UTAJIRI
 
Angalau wewe umeelewa ninachomaanisha,hilo liko hivyo imani yetukwa Mungu wa kweli ni haba sana,tukishafanikiwa tunamsahau,ba yeye akatukomoa katuwekea limit ya rizki ili tuendelee kumuabudu japo kinafiki
 
Yeye kama pastor alikuwa sahihi kusema hivyo,nenda kwenye makanisa ya kiroho pale parking ukikuta VXV8 huyo mwenye gari muheshimu sana,waumini hata nauli ya kwenda ibadani ni changamoto,wakifanikiwawanajifanya bize
 
Angalau wewe umeelewa ninachomaanisha,hilo liko hivyo imani yetukwa Mungu wa kweli ni haba sana,tukishafanikiwa tunamsahau,ba yeye akatukomoa katuwekea limit ya rizki ili tuendelee kumuabudu japo kinafiki
Ndo maana waafrika wanaomba sana na Mungu hawapi kwa sababu akiwapa 90% wanaacha Ibada.
We uoni wanawake wengi wamejazana kwa mitume na manabii wa uongo asilimia kubwa wengi wamezichezea ndoa zao walimuomba Mungu awape waume akawapa baada ya kupata wakainuka roho ya kiburi kauli chafu dharau usaliti vyote hivi ni baada ya kuacha Ibada then waume wakawakimbia kwa tabia zao.
Wamegeuka soko la mitume.
 
Hao kina mwa wanacheza na soko,soko linalolipa kwa sasa ni kuwauzia bidhaa wajinga.
Media zinalipa kwa kutoa Habari za kijinga.
Waganga uwaibia wajinga wasiotaka kutafuta maarifa ya majibu ya matatizo yao
Kina mwa wanawaibia wasiotaka kusoma maandiko.
Kama unamjua mganga wa mwa naomba uniconect natanguliza shukrani
 
Ndo maana waafrika wanaomba sana na Mungu hawapi kwa sababu akiwapa 90% wanaacha Ibada.
We uoni wanawake wengi wamejazana kwa mitume na manabii wa uongo asilimia kubwa wengi wamezichezea ndoa zao walimuomba Mungu awape waume akawapa baada ya kupata wakainuka roho ya kiburi kauli chafu dharau usaliti vyote hivi ni baada ya kuacha Ibada then waume wakawakimbia kwa tabia zao.
Wamegeuka soko la mitume.
Huo ndio ukweli mkuu
 
Tuendelee kumtumainia Mungu,mimi binafsi siendi kwa waganga ila najua from experience nimeona mengi na umri huu
Kuna kuamini uwepo wa ushirikina na kuuamini kwa kuufuatilia
Kweli upo na halina mjadala hata kwenye vitabu vimeandikwa
Mimi sikubali ujinga huo kuwa niende kwa mganga nitafute utajiri
Napiga kazi zaidi ya miaka 40 na maisha yanaenda vizuri sana
Popote duniani nikitaka kwenda naenda na sina masharti ya mganga

Hilo ndinga hapa UK ni 80,000 kama 240m
Naweza kumiliki vizuri tu
 
Naweza kumiliki vizuri tu n
Hilo ndinga huku nimilioni 500,kuipata sio mchezo.
Mungu ana mtaxamo tofauti kwa waafrica na wazungu,sisi usiporoga utarogwa
 
Ndo maana waafrika wanaomba sana na Mungu hawapi kwa sababu akiwapa 90% wanaacha Ibada.
We uoni wanawake wengi wamejazana kwa mitume na manabii wa uongo asilimia kubwa wengi wamezichezea ndoa zao walimuomba Mungu awape waume akawapa baada ya kupata wakainuka roho ya kiburi kauli chafu dharau usaliti vyote hivi ni baada ya kuacha Ibada then waume wakawakimbia kwa tabia zao.
Wamegeuka soko la mitume.
😀 Madai yao watoa ushuhuda kwa buld..
 
Back
Top Bottom