DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 Huwa nakerwa sana na watu kama wewe alie andika hajaandika upumbavu ila wewe ndio unataka kutuaminisha upumbavu huku nyuma ya pazia kuna hirizi inakuongoza.Ungesoma na kulielewa neno la Mungu usingekuwa umeandika huu upumbafu
Angalau wewe umeelewa ninachomaanisha,hilo liko hivyo imani yetukwa Mungu wa kweli ni haba sana,tukishafanikiwa tunamsahau,ba yeye akatukomoa katuwekea limit ya rizki ili tuendelee kumuabudu japo kinafikiMwafrika anakwenda kanisani kwa sababu hana ajira,ndoa,akishavipata hivi anakata mguu anasingizia bize,akishapata alichofata kanisani anakuacha Mungu.mzungu anaenda kanisani kumuomba MUNGU apate utulivu na amani ya moyo na sio kuomba sijui uchumi,ajira,mke au mme kule hivyo vipo tayari.
Yeye kama pastor alikuwa sahihi kusema hivyo,nenda kwenye makanisa ya kiroho pale parking ukikuta VXV8 huyo mwenye gari muheshimu sana,waumini hata nauli ya kwenda ibadani ni changamoto,wakifanikiwawanajifanya bizeTuambie je G WAGON?, kuna watu hawana LC 300 lakini wana Scania R420 10😀😀,au wamiliki wa daladala wote unawaona wachawi?
Kuna pastor wa Kenya aliwahi kusema KUNA LEVELS YA UTAJIRI HAUWEZI BILA NGUVU ZA KIROHO,
NAWE UTAMWABUDU BWANA MUNGU WAKO MAANA NDIYE AKUPAYE NGUVU ZA KUPATA UTAJIRI
Ndo maana waafrika wanaomba sana na Mungu hawapi kwa sababu akiwapa 90% wanaacha Ibada.Angalau wewe umeelewa ninachomaanisha,hilo liko hivyo imani yetukwa Mungu wa kweli ni haba sana,tukishafanikiwa tunamsahau,ba yeye akatukomoa katuwekea limit ya rizki ili tuendelee kumuabudu japo kinafiki
Kama unamjua mganga wa mwa naomba uniconect natanguliza shukraniHao kina mwa wanacheza na soko,soko linalolipa kwa sasa ni kuwauzia bidhaa wajinga.
Media zinalipa kwa kutoa Habari za kijinga.
Waganga uwaibia wajinga wasiotaka kutafuta maarifa ya majibu ya matatizo yao
Kina mwa wanawaibia wasiotaka kusoma maandiko.
Huo ndio ukweli mkuuNdo maana waafrika wanaomba sana na Mungu hawapi kwa sababu akiwapa 90% wanaacha Ibada.
We uoni wanawake wengi wamejazana kwa mitume na manabii wa uongo asilimia kubwa wengi wamezichezea ndoa zao walimuomba Mungu awape waume akawapa baada ya kupata wakainuka roho ya kiburi kauli chafu dharau usaliti vyote hivi ni baada ya kuacha Ibada then waume wakawakimbia kwa tabia zao.
Wamegeuka soko la mitume.
Kuna kuamini uwepo wa ushirikina na kuuamini kwa kuufuatiliaTuendelee kumtumainia Mungu,mimi binafsi siendi kwa waganga ila najua from experience nimeona mengi na umri huu
Hilo ndinga huku nimilioni 500,kuipata sio mchezo.Kuna kuamini uwepo wa ushirikina na kuuamini kwa kuufuatilia
Kweli upo na halina mjadala hata kwenye vitabu vimeandikwa
Mimi sikubali ujinga huo kuwa niende kwa mganga nitafute utajiri
Napiga kazi zaidi ya miaka 40 na maisha yanaenda vizuri sana
Popote duniani nikitaka kwenda naenda na sina masharti ya mganga
Hilo ndinga hapa UK ni 80,000 kama 240m
Naweza kumiliki vizuri tu n
Vipi Muganyizi, na huyo Rutashobya hapo BOT hamjambo?Irebojo
,,infact kama uwezi kumiriki uto tu gari it's about you.
binfsi yangu mimi mr.Muganyizi hizo LC300 huwa navunia kahawa kure kwetu Kagera.
nikitoka Brussels kwenye chikao cha UN unitafute nikupe mbinu za kumiliki pesa.
😀 Madai yao watoa ushuhuda kwa buld..Ndo maana waafrika wanaomba sana na Mungu hawapi kwa sababu akiwapa 90% wanaacha Ibada.
We uoni wanawake wengi wamejazana kwa mitume na manabii wa uongo asilimia kubwa wengi wamezichezea ndoa zao walimuomba Mungu awape waume akawapa baada ya kupata wakainuka roho ya kiburi kauli chafu dharau usaliti vyote hivi ni baada ya kuacha Ibada then waume wakawakimbia kwa tabia zao.
Wamegeuka soko la mitume.