Leta andiko lenye umri halisi wa mariam mama wa Yesu.Mariam mama wa Yesu alikua na miaka 13 wakati anapat ujauzito wa Yesu Joseph alikua na miaka 93 wakati anamuoa Mariamu.....sasa watuambie huo pia ibakaji?
Embu fafanua ni kwa namna gani watawala waliamua kusema Yesu alikufa akafufuka,atarudi kuhukumu wasiomfata,kuliwarahisishia wao kutawala.Ni tafasiri tofauti ila mtu ni yule yule, wakuristo wengi wamepotosaha mafundisaho na ukweli kuhusu huyu Yesu au Isa kwa malengo ya kiasiasa na kiutawala.
Aitwe Yesu aitwe Isa -- jina sio shida kama wanamlenga yule yule -- Mzungu atamuita Jesus mswahili atamuita Yesu mturuki atamuita IsaMkuu ni lugha jina la Yesu hubadilika kulingana na lugha husika kwa mfano:
Haya ndiyo majina ya Yesu katika lugha mbalimbali:
1. Kiarabu: عيسى (ʿĪsā)
2. Kiebrania (Hebrew): יֵשׁוּעַ (Yeshua)
3. Kigiriki (Greek): Ἰησοῦς (Iēsous)
4. Kilatini (Latin): Iesus
5. Kiingereza: Jesus
6. Kihispania: Jesús
7. Kifaransa: Jésus
8. Kijerumani: Jesus
9. Kirusi: Иисус (Iisus)
10. Kichina (Mandarin): 耶稣 (Yēsū)
11. Kihindi: यीशु (Yeshu)
12. Kiswahili: Yesu
13. Kituruki: İsa
14. Kipersia (Farsi)*: عیسی (ʿĪsā)
Jina linabadilika kulingana na fonolojia ya lugha, lakini linarejea mtu ni yuleyule –Nabii Isa au Yesu.
Uongo dhambi.4. Mohamad aliyeleta kuran alizaliwa miaka 600 baaada ya Yesu na mitume,
Ingependeza zaidi nawe ungeweka andiko la kwako kupinga andiko lake tujiridhishe.Leta andiko lenye umri halisi wa mariam mama wa Yesu.
nilete ndiko linalopinga andiko lake lipi??Ingependeza zaidi nawe ungeweka andiko la kwako kupinga andiko lake tujiridhishe.
Ndio maana mahakamani huwa kuna maswali ya msingi ili kujua kama shahidi anamjua anayekuja kumtolea ushahidi.Aitwe Yesu aitwe Isa -- jina sio shida kama wanamlenga yule yule -- Mzungu atamuita Jesus mswahili atamuita Yesu mturuki atamuita Isa
Hoja kubwa Ni Mungu au ni mjumbe wa Mungu ?
Watu watofautiane hapo
Mkuu, kama lengo lako ni kutushawishi tuingie kwenye dini yako, basi niseme wazi kwamba mimi umeishanikosa, hunipati kamwe. Maneno yako na mtindo wako wa majibizano ni ushahidi wa wazi kuwa dini unayoiwakilisha inakumbatia ukali, matusi na hasira.Ushahidi tafadhali mkuu, sitaki porojo hapa no evidence shut-up.
Hoja kubwa ya utofauti hawa wanasema ni Mungu na wengine wanasema nyie mmeposha hakuwa Mungu.Ndio maana mahakamani huwa kuna maswali ya msingi ili kujua kama shahidi anamjua anayekuja kumtolea ushahidi.
wakrsto wana Yesu na wanamuita Mungu,waislam wana Issah wanamwita mtume tu.
ili tujue ni mtu mmoja huyu au lah,tujue wasifu wke pande zote.
hiyo siku ya idi uliyoandika, umesoma biblia aliyoandika mood au ipi? hakuna idi kwenye Biblia tunazotumia wakristo.Uongo dhambi.
Hosea 9:5
" Mtafanya nini katika siku ya mkutano wa idi, na katika siku ya karamu ya BWANA?"
wala sio tofauti ya msingi kwa imani zote mbili hizi,unafikiri wangekuwa wanaamini tu hakuwa Mungu kisha wakakubali alisulubiwa na akafufuka tungekuwa na shida nao!!!issue ni kwamba tofauti ni nyingi hiyo ni moja wapo.Hoja kubwa ya utofauti hawa wanasema ni Mungu na wengine wanasema nyie mmeposha hakuwa Mungu.
kma ni kujaribu sawa,ila watakuwa wanabahatisha kumfanya awe wanayetamani awe.Ila kimsingi wote wanajaribu kumuongelea huyo huyo. --- nacho maanisha ni intent
msingi wa imani ya kikristo sio kuamini Yesu ni Mungu,ni kuamini alikufa,alifufuka atakuja tena kuhukumu watu sio kuua nguruwe na kuoa.And NB: kuna wakristo wachache nao wanasema sio Mungu
kabisa,na ndio maana hoja yetu pia sio jina,ni mhusika,kama wangemwita Issah awe na sifa zile zile za kwenye bible,wala kusingekuwa na shida.Huko kwenye wasifu sina comments,
Ila kwenye lugha au majina hapa ntapasimamia majina ni lugha tu na hali ya kukubaliana
Idi maana yake sikukuu mkuu.hiyo siku ya idi uliyoandika, umesoma biblia aliyoandika mood au ipi? hakuna idi kwenye Biblia tunazotumia wakristo.
Hosea 9:5; "What will you do on the day of the appointed festival, and on the day of the feast of the Lord?" Mtafanya nini katika siku ya sikukuu zenu zilizoamriwa, katika siku za sikukuu za Bwana?
KJV inasema " What will ye do in the solemn day, and in the day of the feast of the Lord? "
Naam,wala sio tofauti ya msingi kwa imani zote mbili hizi,unafikiri wangekuwa wanaamini tu hakuwa Mungu kisha wakakubali alisulubiwa na akafufuka tungekuwa na shida nao!!!issue ni kwamba tofauti ni nyingi hiyo ni moja wapo.
kma ni kujaribu sawa,ila watakuwa wanabahatisha kumfanya awe wanayetamani awe.
msingi wa imani ya kikristo sio kuamini Yesu ni Mungu,ni kuamini alikufa,alifufuka atakuja tena kuhukumu watu sio kuua nguruwe na kuoa.
kabisa,na ndio maana hoja yetu pia sio jina,ni mhusika,kama wangemwita Issah awe na sifa zile zile za kwenye bible,wala kusingekuwa na shida.
wala sio issue sana,maana ni Mungu kamili na binaadam kamili.hutendi dhambi kuamini si Mungu.Naam,
mkuu kuamini ni Mungu au sio Mungu , sio issue sana?
wala sio issue sana,maana ni Mungu kamili na binaadam kamili.hutendi dhambi kuamini si Mungu.
na angetaka watu wote waamini yeye ni Mungu asingekuwa anaficha uwezo alio nao.
Kwenye utofauti wa wasifu kwanini ukaitumia sasawakrsto wana Yesu na wanamuita Mungu,waislam wana Issah wanamwita mtume tu.
Hapo kwenye "Fanya ibada"Huu mjadala hauna mwisho, hakuna anaejua dini ipi ni ipi lakini sote tunajua ili kwenda mbinguni ni lazima utende wema, na dini zote zimeweka wazi ni vitu gani usifanue na nini ufanye ili uende mbinguni. Tenda wema, Toa sadaka, Fanya ibada, Mengine ni rehema za mungu. Warabu walileta uislamu, wazungu walileta ukristo. Hii mada tuwaachie wao. Humu hakuma anaejua Quran iliandikwa vipi ila ukiulizwa utasema ulichoambiwa, the same na biblia. So hii mada ni waste of time
hiyo nitofauti moja wapo. ila sio yenye nguvu maana hata wakristo baadhi wanaamini hivyo,ila waislam wote wanadai sio Mungu.Kwenye utofauti wa wasifu kwanini ukaitumia sasa