Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Bakhresa hayupo kwenye management muda mrefu sana. Watoto wake wote wamesoma vyuo vya maana duniani ambavyo wewe kwenda kusoma hata kizazi chako cha 100 hakitaenda kusoma. Utaishia kupeleka watoto na vitukuu vyako Namtumbo Secondary SchoolKaamua tu kusema alichosema..bakheresa ana degree ya nini??
Huyo Jordan hata kama ni billionaire , je ndiye tajiri namba moja? Mbona hamuelewi mada?! Hoja siyo utajiri! Hoja ni utajiri namba moja duniani!Hivi Ronaldo kasoma shule ya digrii ?
Kwa uwekezaji wake haiwezi tokea akaja ajawa tajiri kipitia mtaji aliojikusanyia kwa miguu, kifua na kichwa
Miguu inaweza kuleta utajiri.
Nadhani Jordan ni bilionea .
Hayo madude uliyoyataja hapo yana umuhimu mkubwa sana! Raiti tungesoma, kuyaelewa na kujua applications zake, yangetupa utajiri wa kutisha! Bahati mbaya, pengine ni kweli kabisa tuliyasoma shuleni lakini hatukuwahi kuelewa chochote! Tulikariri tu! Hata hivyo nahisi hujaelewa kinachozungumzwa! Pole.mleta mada wewe umesoma intergration na differentiation? kama ndio ,basi tuoneshe utajiri wako
kazi kweli kweli/jobtruetrue
Mkuu kwani tajir no 1. Alianza kuwa no 1 ? Unapoleta hoja uwe unpima kila pembe. Elon musk hakuruka kuwa namba 1 amepira stages.Huyo Jordan hata kama ni billionaire , je ndiye tajiri namba moja? Mbona hamuelewi mada?! Hoja siyo utajiri! Hoja ni utajiri namba moja duniani!
Kweli kuelewa kazi...bakhresa kabla ya kua tajiri alikua na elimu???hao watoto pesa za kuwapeleka hivyo vyuo katoa wapi??? MO anasema alichukua kampuni za baba yake zikiwa na utajiri wa USD MILLION 250,,mwaka 1999 hapo ndio zikaanza kuendeshwa kisomi...Bakhresa hayupo kwenye management muda mrefu sana. Watoto wake wote wamesoma vyuo vya maana duniani ambavyo wewe kwenda kusoma hata kizazi chako cha 100 hakitaenda kusoma. Utaishia kupeleka watoto na vitukuu vyako Namtumbo Secondary School
Sawa! Na Mimi nasema, Jordan atakapokamilisha hizo hatua na kuwa namba moja duniani kwa utajiri njoo tuongee! Kwa sasa hivi tunazungumzia watu matajiri waliowahi kushika namba moja kwa utajiri duniani na viwango vyao vya elimu! So far, kwa miaka yote hiyo hijawahi tokea mtu asiye na elimu kuongoza kwa utajiri duniani! Hatuzungumzii walio kwenye hatua! AhsanteMkuu kwani tajir no 1. Alianza kuwa no 1 ? Unapoleta hoja uwe unpima kila pembe. Elon musk hakuruka kuwa namba 1 amepira stages.
Mi nikushangaa kama unavyonishangaa.
Tabia ya kutazama output bila process ndio inayotugharimu.
Utajiri ni hatua.
Kwa hiyo education is better than money ?Sio rahisi mkuu. Mbona tumekwambia kama hujasomea hesabu za integration huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani.
Kama hajasoma shule ni haweziMe namuombea sana Diamond awe tajiri namba moja Duniani. Diamond ana akili sana tuseme ukweli sio kipaji kimemfikisha pale ila ana akili sana tukubali ukweli. Kaanzia from zero to billionea. Kasema ana ndoto. Wengine hata ndoto yeyote hapa duniani hawana na wapo wanacomment.
Tunazungumzia tajiri namba 1 duniani anaweza kuwa tajiri wa kawaidaKwa hiyo education is better than money ?
hivi mnapo zungumzia kuhusu "kusoma shule" ni level ipi mnamaanisha? maana hata wa darsasa la nne la zamani huyo naye ni msomi.Kama hajasoma shule ni hawezi
Kuna comment 1 nimeona uko instgram mwana anasema itamchukua miaka 500 diamond kumpita utajir tajir no 1 wa sas hata itokee amefariki hivi sasa 🤣🤣🤣Nimeona huko x mwanamziki mmoja anasema lengo lake ni kuwa tajiri namba moja duniani.
Yes, elimu ni muhimu ila ipo na bahati pia, sometimes na ulozi,
Let's see.
Tajiri namba moja duniani bila hesabu za integration ni haiwezekani.Elimu sio kitu.........unaweza kuwa tajili pasipo shule ........mayweather hata kutia saini hajui lakini kwenye carie yake anawakalisha karibia wote na wanamsainia yeye anatia gumba mchezo umeisha..........haya tuje kwa wasomi unakuta mtu ana PhD hata kununua freelander hawezi hana mtonyo ...........ila likishusha shule hapo jinsi ya kupata pesa unasema barkhresa huyo hapo
Inaweza kuwa sawa kwa maono yako piaTajiri namba moja duniani bila hesabu za integration ni haiwezekani.
Sawa dogo, ila kugeuza elimu kuwa pesa nayo ni Shughuli pevu !!Huu ni ukweli tu ulio wazi.
Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.
Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.
Katika dunia ya sasa usitegemee kuwa Tajiri namba moja duniani bila kujua hesabu.
Ukijua hesabu na kuzitumia kama zinavyotaka unaweza kuwa mbali na hapo sahau.
NIMEFUNGA UZI
Meneja Wa Makampuni
Toa hiyo 'hata'kama ana akili ameelewa. Doto magari anaweza kuwa na maisha mazuri kupita hata watu wenye masters nchini