Huwezi lazimisha Mwanamke akuheshimu, Mwanamke anamheshimu mwanaume anayempenda

Wewe umeangalia upande mmoja, je akienda semina wiki3 nani atalea watoto ndani?
 
Na wala usijaribu kuwaelewa. Wapo waliojaribu kuwa elewa ila sasa ni walimu na wanafalsafa wazuri sana kwa yale waliyokutana nayo.Mwanamke anaweza kukutamkia "na kupenda sana" hapo anakuaga anatoka kumbe anaenda kwa mwanaume mwingine.
 
Wewe umeangalia upande mmoja, je akienda semina wiki3 nani atalea watoto ndani?

Duuh!
Mkuu unaishi dunia ipi?
Siku hizi kuna Watu wanafanya kazi za uangalizi wa watoto. Na hiyo ni tangu zamani kwa Watu wa tabaka na familia kubwa na zakisomi.
 
Na wala usijaribu kuwaelewa. Wapo waliojaribu kuwa elewa ila sasa ni walimu na wanafalsafa wazuri sana kwa yale waliyokutana nayo.Mwanamke anaweza kukutamkia "na kupenda sana" hapo anakuaga anatoka kumbe anaenda kwa mwanaume mwingine.

Mwanamke anayekupenda hawezi kukuambia anakupenda.
 
Mwanamke anaweza akakupenda mwanangu na akashindwa kukupa hela simply kwa sababu hana. Unakuta kipato chake ni kidogo sana, sasa atakupa nini ndugu yangu..? Lakini sio kwamba hakupendi ni basi tu hana. Same thing inaweza tokea kwa mwanaume kama hana cha kukupa. Hakupi kwa sababu hana sio kwa sababu hakupendi.
 
Ukisoma maandiko mwanamke alazimishwi kukuheshimu mwanamke anatakiwa amtiii mwanamke...na mwanamume ampendee mwanamke

Ov
 
"Mwanamke lazima aweze kuihudumia familia yake"

Hata kama akiweza bado nafasi yako kama mwanaume itabaki palepale, vinginevyo atakuja mwingine aihudumie familia yake kama utakavyo na ndio kitakuwa chanzo chake cha kiburi, ajabu unataka kuheshimiwa huku ukiwa na mchango sawa na mwanamke...

Hiyo nyumba yako itakuwa na vichwa viwili vya familia, na huo ndio utakuwa mwanzo wa matatizo mbele ya safari.
 
Ko na wanaume wanaosaliti pia una maana kuwa wanakuwa hawana upendo kwa wake zao au hiyo inakuwa applied kwa wanawake tu?
 
Umenena la maana sana mkuu.Hili lizingatiwe na wanaume wote
 
Pumba kama pumba nyingine! Heshima huwa inatafutwa ukiwa na pesa utaheshimiwa na kuogopwa na kila mtu.
 
Uko sahihi mkuu. Mwanamke anayekupenda ni mtoaji sana. Mafundisho yako yameniokoa kwenye shimo la hatari.
Ukielewa anachosema Taikon, hutakuja chukia wanawake ila utafanya uchaguzi kumpata mwanamke sahihi kwako.
 
Pumba kama pumba nyingine! Heshima huwa inatafutwa ukiwa na pesa utaheshimiwa na kuogopwa na kila mtu.
Ni kweli ila sio kwa suala la mwanamke. Usitumie pesa kama msingi wa mahusiano, hutakuja kuamini kitakachokutokea ukifilisika.
 
ujuzi nishabeba,, bado uyo mwanaume wa kumpenda na kumheshimu😄
 
Tatizo ukionesha kumpenda mwanamke anakuona zoba ,kadharau kanaanza na jina la utani unapewa [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…