Huwezi lazimisha Mwanamke akuheshimu, Mwanamke anamheshimu mwanaume anayempenda


Sijasema mwanaume aache majukumu ya kuhudumia familia.
Nyumba inajengwa na Mke na mume. Hakuna nyumba au familia imara inayojengwa na Baba au mwanaume pekee. Hiyo nyumba haipo na haitakuwa kutokea.

Tafsiri ya Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume kwenye majukumu ikiwepo hilo la kuhudumia familia..


Kasome Mithali 31 hapo utampata Mwanamke mwenye sifa ya kuwa mke.

Kinachofanya familia iyumbe na isiwe imara ni ukosefu wa upendo, ufinyu wa maarifa, na tofauti kubwa ya imani na falsafa Baina ya Mwanamke na mwanaume.

Kiburi cha mwanamke kipo kama kiburi cha mwanaume tuu.
Hata mwanamke asipochangia chochote wanaume wengi huwanyanyasa, huwafanya wanawake kiburi na ukatili.

Ni haki ya mke na mume wote kuhudumia familia yao watakaoijenga.

Mwanamke kukaa nyumbani bila ya kazi yoyote imewafanya na kuwapa wanauwk wengi kiburi na jeuri ya kuwanyanyasa wanawake na kuwaona kama wanawake hawawezi kufanya kazi jambo ambalo sio sahihi.
 

Kitu kama huna utampaje mtu hata ingekuwa ni wewe?
 
Kuna kitu kikubwaa nimejifunzaa ha Kuna kitu kikubwaa nimejifunzaa hapaaa...kongole mtoa mada🙏
 
Ufafanuzi kidogo hapaa...

Mara nyingi Watu wenye upendo uliopitiliza( upendo wa dhati) huonyesha matendo zaidi kuliko maneno. Sio tuu kwa wanawake hata kwa sisi wanaume.

Hata sisi wanaume tunapokutana na chuma kilichouteka moyo hatunaga maneno mengi zaidi matendo ndio yatajidhirísha. Kumwambia mtu unayempenda nakupenda ni kazi kuliko kumwambia mtu usiyempenda kuwa unampenda.
 
Nipo napiga punyeto kwa profile pic yako
 
Aiseee naendeleaa kujifunzaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…