Huwezi lazimisha Mwanamke akuheshimu, Mwanamke anamheshimu mwanaume anayempenda

Hii ndo ilitakiwa iwe pale juu.
Pata pesa tujue tabia yako. Mimi ndiomana naanzisha mahusiano na mwanaume mwenye pesa sababu anakuwa yuko halisi haigizi..!!
 
Nimeipenda hii
 
Hili neno "nakuvumilia -namvumilia " ni neno la kisiasa Sana.

Hakuna binadamu anayemvumilia mwenzake ikiwa unamuhudumia mwanamke au yeye anakuhudumia hakuna anayemvumilia mwenzake hapo.

Ni tafsiri mbaya Sana kusema nakuvumilia .
Asili ya mwanadamu huvumilia pale tu amehahidiwa au kuna kitu chenye benefit kwake hapo yupo tayari kuvumilia.
 
Rubbish heshima ya mwanaume ni pesa hizo nyingine ni fasihi simulizi na fasihi andishi.
 
Hapa nakuunga mkono ila kwenye ile mada ya kumruhusu mwanamke aende semina ya wiki3 kisa yuko kazini hapana siwezi kuunga mkono!
Sikufichi huku semina Wanawake wanaliwa sio kidogo.Mie nilikuja tu kuhitimisha kwa hawa wanawake zetu wa kiafrika hakuna Mwanamke wa peke yako cha kuomba usifanikiwe kumfania
 
Hapa nakuunga mkono ila kwenye ile mada ya kumruhusu mwanamke aende semina ya wiki3 kisa yuko kazini hapana siwezi kuunga mkono!
Sikufichi huku semina Wanawake wanaliwa sio kidogo.Mie nilikuja tu kuhitimisha kwa hawa wanawake zetu wa kiafrika hakuna Mwanamke wa peke yako cha kuomba usifanikiwe kumfania
 
Upendo ni matarajio ya kupata kitu toka kwa mtu pesa au mwili wake au heshima yake.
 
Hakuna mwanamke mwenye tabia mbovu kwa mwanaume ampae pesa.
Ukitaka kujua tabia ya mke wake filisika,fukuzwa kazi au staafu then pesa ziishe ndo utajua miaka ya 40 ya ndoa ulipendwa wewe au kile alichopata toka kwako.
 
Ukitaka kupendwa inatakiwa kile alichokupendea mwanzoni ndicho ukimaintaine milele
 
Hili jambo ni sawa na kuku na yai.
Na mwanaume hawezi mpenda mwanamke asiyemtii.
 
kuna sehemu unasoma inayosema Adamu hakumshimu Hawa, au kuna sehemu unasoma kwamba Samsoni alimkosea Delila hadi amsaliti
Recently mke wa mchezaji Kaka anadai alimuacha Kaka because he was so nice to her
Mkuu tuliza komwe, huwezi kuwaelewa, ishi nao kwa akili, while your eyes open
 
mkuu umezalisha single maza
 
Heshima na utii ni matokeo ya malezi.
Malezi ni program ambayo mzazi anaiplant kwa mtoto ili hawezi ishi vyema.
Pana watu wanadharau za asili huwezi badili sababu wana vinasababu vya dharau toka kwa wazazi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…