Huyo mwamba alishawahi kuwa mnunua karanga Kahama leo ni Ltn Col wa RDF

mrundi ni mtu wa chini sana huko kwenye jamii yao. Na bila Tanzania sijui wataenda wapi 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ni Tanzania pekee iwe hotel, guest, lodge unaweza ukaandika wewe ni mkenya au mrundi na usiulizwe passport wala namba ya hati yako ya kusafiria, na hiyo hutokea unaweza kulala hata bila kuandika jina na kama kesho ukaondoka vizuri hata ikitokea umefanya tukio uanchomoka tu, tuliwahi kusema hapa wahudumu lazima achukue passport aandike namba ya mgeni kwa mkono wake na sio kumpa mgeni ajiandikie tatizo wahudumu wengi hata kusoma hawajui na kuchukua rekodi za wageni wao kwa siku hawafanyi, halmashauri zitunge adhabu kali kwa watu hao ili mambo yawe vizuri na uhamiaji wafanye doria za mara kwa mara maana ni hatari Sana hii
 
hao informers wa rwanda, wangekuwa manguli kweli tungewajua kuwa ni mainformers? wale malaya wa bijampola mbona kitambo sana walishajulikana? watu wanapiga mzigo na siri hawatoi wala nini. ushetani tu.
 
Na Watzn wengi kama sio wote ni mazobe sana hakunaga kuulizana , upuuzi huu wa sijui Africa ni ndugu mara ni Moja akileta Yule Babu yenu.

Kuna mambo ya ajabu yanaendelea huko ndio maana kwenye kumbukumbu za uhuru ukiona wanavuosifiana wakati issue ndogo ndogo kama hizo hawazioni unasema basi ngoja nikae kimya
 
Hata kwenye nchi zao watu wetu wapo. So ni kitu cha kawaida.
 
Ni sawa na CIA walivyo kila sehemu duniani.

Ni sawa na FSB walivyo kila sehemu

Ni sawa na MSS ilivyo kila nchi

Wala hatujakaa hata kua na double agent kama zangira, sawa tu au kupata mwekezaji mwenye asili ya rwanda kama yule prof wa sua aliyewafurusha wenyeji kwenye ardhi yao ni sawa wala hakuna shida, au kua na mganda ambae anaoa mluguru na kununua ardhi kubwa mgeta na kuanza kulima ni sawa lakini tunachosema ni usalama wetu uko sawa? Au hauko sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…