Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
siyo mtumishi wa Mungu? unapata wapi ujasiri wa kusema hivyo, alikutapeli nini. Kwa hiyo mtumishi wa Mungu ni Mwamposa, sio?Anaitwa William Mwamalanga, siyo mtumishi wa Mungu bali anavaa tu makanzu na kola za wachungaji wa kipentekoste kutapeli watu
Mkuu pamoja yanayoendelea kwenye familia yako hujapata kujifunza kuwa MUNGU anataka ubadilike?Bado una roho chafu ya kishetani?Anaitwa William Mwamalanga kutoka kijiji cha Isansa huko Mbeya. Ni TAPELI tu, siyo mchungaji wala siyo Askofu wa Kanisa lolote hapa nchini.
Naye hiyo ndiyo namna yake ya kujipatia riziki. Anashona nguo za kiaskofu au kichungaji na kupanda kwenye makujwaa kutoa matamko. Huyu na Mchungaji Mashimo wa Mbezi Bus stand hawana tofauti
Busara kumwita Sheikh Mwaipopo sio MwaipopoNa Mwaipopo je?
Mwaipopo, Mwaipopo, kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha kuwatahiri watu kwa upanga. hapo je nimepatia?Busara kumwita Sheikh Mwaipopo sio Mwaipopo
Kiongozi wa Dini ya mwenzio ni Kiongozi wako
mpe heshima yenye hadhi yake !!!!
Hata sisi kina Father Kitima sio viongozi wetu!!!
lkn tunawapa heshima ya kuwaita kwakuanzia na Father Kitima!!
badala ya kuanzia na Kitima peke yake !!!
busara inadumu
machoni βοΈ
Kitima namwita Dr Kitima, na hata nisipotaja cheo chake huwezi kuona wakatoliki wakitoka povu kama wewe. Kuna masheikh ninaowaheshimu na nitaweka mbele cheo chao kama Sheikh Walid, Mwaipopo kwangu hana tofauti na Mnyakyusa mwenzake Bonface Mwamposa. Wote ni matapeli tu hawana uongozi wowote wa kidni ni Hustlers.Busara kumwita Sheikh Mwaipopo sio Mwaipopo
Kiongozi wa Dini ya mwenzio ni Kiongozi wako
mpe heshima yenye hadhi yake !!!!
Hata sisi kina Father Kitima sio viongozi wetu!!!
lkn tunawapa heshima ya kuwaita kwakuanzia na Father Kitima!!
badala ya kuanzia na Kitima peke yake !!!
busara inadumu
machoni βοΈ
Namjuwa vizuriUmejuaje ni TAPELI kama wewe na sio Askofu?
Namfahamu vizuri wala usinibishie. Huyu anapatikana sana kwenye hii mikutano. Next time ukihudhuria muulize tu akuonyeshe kanisa analo hudumusiyo mtumishi wa Mungu? unapata wapi ujasiri wa kusema hivyo, alikutapeli nini. Kwa hiyo mtumishi wa Mungu ni Mwamposa, sio?
Ziko wapi hizo fedha?Mkuu pamoja yanayoendelea kwenye familia yako hujapata kujifunza kuwa MUNGU anataka ubadilike?Bado una roho chafu ya kishetani?
Hizo fedha haramu uzifurahia zitaishia Ocean road Hospital kutibu Kansa ya mama yako
dili na aliyoyasema hapo (content). Wewe una ujasiri wa kuyasema aliyoyasema?Namfahamu vizuri wala usinibishie. Huyu anapatikana sana kwenye hii mikutano. Next time ukihudhuria muulize tu akuonyeshe kanisa analo hudumu
Ni tapeli siyo mchungaji, sijaongelea maudhui yake bali kujifanya askofu wakati siyo Askofudili na aliyoyasema hapo (content). Wewe una ujasiri wa kuyasema aliyoyasema?
Wauaji wana toba nao..Baba askofu barikiwa Sana,na namuomba Mungu awalaani waovu wote,isipokuwa watakao Fanya toba ya dhati.
Mmmmh !Maneno ya Askofu
"Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki."
"Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa haki, aamue kwa haki, awe mwanamke, awe mwanaume, akisema haki kwanza, taifa linakuwa na amani."
"Wamemwaga damu za watu, wameua... Kwa nini ninyi mmawaza kuua tu? Hamna vitu vingine kichwani? Mnawaza kuua kwa sababu ni zao la Ibilisi... Leo hii nchi imekaa yaani kwenda kuua mtu imekuwa ndio biashara? Hapana!"
"Ili watu wawajibike, lazima wawe na hofu ya dhambi... Mwinyi amekuwa mlea wetu sana... Kila wakati alitulika viongozi wa dini 'inachili iende, ninyi viongozi ni watu muhimu sana, waambieni wanasiasa watende haki'... Mtaona wote wasipotubu, mtaona cha mtema kuni."
ππ³ ! Duh !Wauaji wana toba nao..
Unashangaa nini wewe mzee..ππ³ ! Duh !