Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

Serikali ya wauaji ilinde mpenda haki? Itakua the opposite ss hv team za abduli na mafwele zinatafuta mwanya! House nigers ujue…
 
Serikali hii hii impe ulinzi?
Wakati hapo tu tayari yuko mashakani.
Lakini kikubwa amesema ukweli bila kupepesa na kuogopa. Ujumbe umefika.

Hapo suala la kualikwa tena kwenye mambo mengine halipo, wamezoea watu wa kusifia na kupongeza tu.
 
askofu anapaswa kulindwa na roho mtakatifu pekee gentleman,

kinyume na hapo,
atakua ni mshirikina kama bagonza tu
Kuua imekuwa staili mpya kwa maboss wako wewe chawa
 
Kuua imekuwa staili mpya kwa maboss wako wewe chawa
kwani si hata biblia imesema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa gentleman?

sasa ukifa kilofa kwa ulofa wako unamlaumu nani gentleman na wakati iko hivyo kibilia?🐒
 
Wanawaza kuua tu .safi sana Askofu unambingu yako
 

Akitekwa Mimi simo, masuala ya Ulinzi na Usalama waachiwe Kamati ya Kitaifa ya Ulinzi na Usalama
 
Ninacho kwambia nina uhakika nacho nakufahamu vizuri bila fedha za damu kutoka kwa Abdul huwezi kuishi.Ona fedha hizo zinavyo leta laana kwenye familia yenu
Abdul ndiyo nani? Unanifahamu kivipi? Wapi uliniona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…