Huyu binti kiukweli nashindwa kumuelewa baada ya kunipa mkopo wa pesa

Huyu binti kiukweli nashindwa kumuelewa baada ya kunipa mkopo wa pesa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu nafikri hujaelewa dhamira yako mm sipo hapa kwajili ya huruma ya mtu ili nisamehewe den najua ni jukum langu hilo kwahy nitarejesha hiyo pesa leo au kesho asbh
Mmm haya mkuu utatusaidia mrejesho wa kulipa maana sijakusoma kabisa
 
Acha longolongo na lipa pesa ya dada wa watu.

Watu wengine hawana utaratibu wa kudaidai kwa vurugu na wanategemea aliyekopwa awe mstaarabu as well na kulipa deni in a timely manner

Sasa unapotuma meseji unategemea akujibuje? Labda anakuona mswahili tu na anaamua kujikalia kimya kuliko kusema la moyoni. Meseji nyingine kwake iwe ni ya muamala tu na sio kiswahili kingine
 
Wasalam Jamiya!

Kuna binti mmoja Namchukulia kama rafiki tulijuana toka arusha ni jirani tunakaa mtaa mmoja japo mm sio mwenyej sana wa huko huwa naenda kusalimia familia

Sas dhumuni la kuja hapa nakumbuka mwez wa 5 tar 17 nilipata matatizo ya kifamilia kidogo nikawa niko vibaya kipesa sijawai kumkopa na ninaogopa kumkopa hela mwanamke lkn mbele ya shida no way ikabid nimvutie waya nikamuelezea mida ya sa2 usiku niko hosptl ninamgonjwa wangu.

Ajabu bint wa watu alirespond vzr na tofaut nilivyotegemea akanifata mpk nilipo hosptl tukaenda ATM akanipa pesa taslimu cash 200,000(lak 2) wakati mimi hapo niliomba aniongeze 20,000 au 40,000 kiukwel nilipigwa na shock saaaana

Bhas nikafanya mambo yangu nikafanikiwa matatizo yakaisha nilimshukuru Mola na kumshukur binti wa watu kila wakat na hunijb “usijal karibu tena” nikamuahidi pesa yake nitajitahidi nimrudishie lkn nikiongelea mambo ya pesa yake hajibu hiyo msg yeye atajibu mambo mengn tu

MaJuzi tena nikamtemxt kumjulia hali na kumshukuru tena kwamaan wema wake utadumu kwangu milele na milele lkn nikagusia tena mambo ya pesa hakujib hiyo msg hadi nikawa najiuliza kwanin huyu mtu kuhusu pesa yake hatak kunijbu!!!

Na ninakumbuka alishakujaga kwangu 2020 january hapo kabla sijaoa nilimtreat vzr kwa chakula safi sana na kumkarimu vzr mno na alienjoy movie kali ya SHANARA tulipiga stor nyingi sana na sikumsumbua kuhusu mambo mbususu sikupiga kabisa mzigo kwamaan jinsi alivyojieka kumuingia inataka akili na ni mtu smart sana kwahy sikutaka tuvunjiane heshima japo nilitaman kumla lkn roho iligoma kuharibu urafiki wa ujirani mwema.

Sasa nabaki kujiuliza huyu mdada vipi kuhusu pesa yake mpk sasa hajanidai na nikimuambia kuhusu pesa yake hajibu hiyo msg atanizuga tu kwa salam bado niko njia panda sielewe nifanye nini sina WEMA mkubwa niliomfanyiaga zaidi ya UKARIMU tu.

POPOTE ALIPO ALLAH AM’BARIKI SANA SITOWEZA KUMSAHAU NA KUSAHAU FADHILA ZAKE MILELE NA MILELE
emoji3590.png
emoji1374.png

Je wadau niendele kukausha mpk aniulize au nimrudishie pesa yake japo nakumbuka kauli yake “WEWE USIJALI MAISHA NI KUSAIDIA UTU NI BORA ZAIDI KULIKO PESA KUWA NA AMANI WALA USIWAZE”
kama nimeelewa ulihitaji 20000/ mpaka 40000
Mkuu wapi nmeandika simrudishi pesa zake!?
ulitaka tuchangie vipi kuwa anakutaka ndio maana hadai, kuna viumbe considerate kwa matatizo yawatu tmiza wajibu na usimkwaze rudisha fedha, hata kwa miamala ya simu kama unaona aibu kukutana nae.
 
Rudisha hela ya watu ili na sisi wengine tukiwa na shida tusaidiwe.
 
Mbona kama una tafuta sababu au huruma ya kuto mlipa ukitegea ..we fanya kutafta oesa yake umlipe bila kumwambia kila mda...mimi binafsi nikimpa mtu pesa yangu uwa sitaki kuongelea ongela kabsa. kikubwa ni siku tulio panga iki fika hanipe bila kusumbuana
 
Wasalam Jamiya!

Kuna binti mmoja Namchukulia kama rafiki tulijuana toka arusha ni jirani tunakaa mtaa mmoja japo mm sio mwenyej sana wa huko huwa naenda kusalimia familia

Sas dhumuni la kuja hapa nakumbuka mwez wa 5 tar 17 nilipata matatizo ya kifamilia kidogo nikawa niko vibaya kipesa sijawai kumkopa na ninaogopa kumkopa hela mwanamke lkn mbele ya shida no way ikabid nimvutie waya nikamuelezea mida ya sa2 usiku niko hosptl ninamgonjwa wangu.
Dogo lipa hela za watu
 
Oya, rudisha hela, mwisho wa mwezi umeshafika, mpe hela yake, acha maneno mengi na shukrani nyingi, mpe pesa yake
 
Lipa deni. Sio lazima akudai.
Ni mstaarabu anajua ukiipata unampa.
Kwani umejaribu kurusha hiyo hela akairudisha kwako?
 
kama nimeelewa ulihitaji 20000/ mpaka 40000

ulitaka tuchangie vipi kuwa anakutaka ndio maana hadai, kuna viumbe considerate kwa matatizo yawatu tmiza wajibu na usimkwaze rudisha fedha, hata kwa miamala ya simu kama unaona aibu kukutana nae.

Mkuu wap nmesema kuwa ananitaka!!yan wana jf mnapenda kuhukum hv mfano mtu akija anataka kujiua mnaeza mkashauri vp mpk akaghair yan weng wao mnafikria mnamitazamo positive san
 
Mbona kama una tafuta sababu au huruma ya kuto mlipa ukitegea ..we fanya kutafta oesa yake umlipe bila kumwambia kila mda...mimi binafsi nikimpa mtu pesa yangu uwa sitaki kuongelea ongela kabsa. kikubwa ni siku tulio panga iki fika hanipe bila kusumbuana

Sawa
 
Sio lazima useme.... kitendo cha kuongelea ongela kila saa halafu hurudishi ina maana unataka usamehewe, huyo dada ana busara ndio maana anakaa kimya amesha kusoma janja yako.

Dah[emoji23][emoji23][emoji23]hakuna kitu naogopa km kunadaiwa mzee na sipend ahad za uongo kwahy siwez kumrusha hela yake
 
Back
Top Bottom