Wasalam Jamiya!
Kuna binti mmoja Namchukulia kama rafiki tulijuana toka arusha ni jirani tunakaa mtaa mmoja japo mm sio mwenyej sana wa huko huwa naenda kusalimia familia
Sas dhumuni la kuja hapa nakumbuka mwez wa 5 tar 17 nilipata matatizo ya kifamilia kidogo nikawa niko vibaya kipesa sijawai kumkopa na ninaogopa kumkopa hela mwanamke lkn mbele ya shida no way ikabid nimvutie waya nikamuelezea mida ya sa2 usiku niko hosptl ninamgonjwa wangu.
Ajabu bint wa watu alirespond vzr na tofaut nilivyotegemea akanifata mpk nilipo hosptl tukaenda ATM akanipa pesa taslimu cash 200,000(lak 2) wakati mimi hapo niliomba aniongeze 20,000 au 40,000 kiukwel nilipigwa na shock saaaana
Bhas nikafanya mambo yangu nikafanikiwa matatizo yakaisha nilimshukuru Mola na kumshukur binti wa watu kila wakat na hunijb “usijal karibu tena” nikamuahidi pesa yake nitajitahidi nimrudishie lkn nikiongelea mambo ya pesa yake hajibu hiyo msg yeye atajibu mambo mengn tu
MaJuzi tena nikamtemxt kumjulia hali na kumshukuru tena kwamaan wema wake utadumu kwangu milele na milele lkn nikagusia tena mambo ya pesa hakujib hiyo msg hadi nikawa najiuliza kwanin huyu mtu kuhusu pesa yake hatak kunijbu!!!
Na ninakumbuka alishakujaga kwangu 2020 january hapo kabla sijaoa nilimtreat vzr kwa chakula safi sana na kumkarimu vzr mno na alienjoy movie kali ya SHANARA tulipiga stor nyingi sana na sikumsumbua kuhusu mambo mbususu sikupiga kabisa mzigo kwamaan jinsi alivyojieka kumuingia inataka akili na ni mtu smart sana kwahy sikutaka tuvunjiane heshima japo nilitaman kumla lkn roho iligoma kuharibu urafiki wa ujirani mwema.
Sasa nabaki kujiuliza huyu mdada vipi kuhusu pesa yake mpk sasa hajanidai na nikimuambia kuhusu pesa yake hajibu hiyo msg atanizuga tu kwa salam bado niko njia panda sielewe nifanye nini sina WEMA mkubwa niliomfanyiaga zaidi ya UKARIMU tu.
POPOTE ALIPO ALLAH AM’BARIKI SANA SITOWEZA KUMSAHAU NA KUSAHAU FADHILA ZAKE MILELE NA MILELE
Je wadau niendele kukausha mpk aniulize au nimrudishie pesa yake japo nakumbuka kauli yake “WEWE USIJALI MAISHA NI KUSAIDIA UTU NI BORA ZAIDI KULIKO PESA KUWA NA AMANI WALA USIWAZE”