Kwanini ulimkaribisha JF? Kwamba JF kuna watu wenye upeo mkubwa kama yeye? Hawa hawa wakina Lucas MwashambaDunia ya sasa siyo ya zamani..
Juzi kuna gen z mmoja nilikuwa naongea naye, aisee mambo aliyokuwa anaongea, mambo anayoyajua, anavyochambua mambo, nikajisemea hapa kweli tuko kizazi kingine kabisaaa..
Mpaka ilibidi sasa nimuambie umeshaiva, karibu Jamiiforums[emoji3][emoji3]
OhoooNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Wapuuzi sana tulichana sana kwenye magroup leo wenyewe wametulia tu...wametangaza kazi za barabara wamezigawa ni za labour base zionekane nyingi, walufanya hivyo mwaka jana lata hivyo bado wanadaiWakandarasi Machawa walitaka kumnunulia Helkopita kwa ajili ya kufanyia Kampeni. Nchi ina watu wajinga hii acha tu. Huku hela Mnadai kama Wakandarasi huku kuna kikundi cha Machawa kinajipendekeza kununua Helkopita.
Waandike tu, ulega anapiga kelele anajua wazi miradi hatekelelezi hawana fedhaBado na mabaarua ya intention to terminate.
Magufuli ndiye aliye yapa kasi zaidi, zama za nyuma matukio hao hayakuwa yakilenga wakosoaji wa kisiasa kuwapoteza kabisa kama zama za magufuli ilivyo kuwa na zama za huyu mamaMmmh ! Yalianzia kabla ya Magufuli !
Hizo cheche za wakati ule ndizo zilizozalisha huo moto ! 😳 !Magufuli ndiye aliye yapa kasi zaidi, zama za nyuma matukio hao hayakuwa yakilenga wakosoaji wa kisiasa kuwapoteza kabisa kama zama za magufuli ilivyo kuwa na zama za huyu mama
Duh 🙄 ! 😳 !Namuonea huruma huyu binti aise muda wowote atatekwa na kuuawa maana Maccm ni mauaji sana
Wewe unajua kuwa kwenu hapo tayari ni mke wa mtu😃😄😅😀Oh, btw, kamdada kazuri kweli hako na hapo hakuna makeup wala nywele bandia.
Huyu mama na genge lake amekuwa hatari zaidi kwa usalama raia na mali zaoHizo cheche za wakati ule ndizo zilizozalisha huo moto ! 😳 !
Duh 🙄 ! 😳Akiuwawa huyo Binti damu yake iwe juu yako kumuexpoz hivyo kwenye jukwaa kubwa kama hili ni kumpa tiketi ya kifo inamaana huwajui ccm kwamba ni brand ya kiuwaji?
Acha unafiki... Sisi tunaotumia majina halisi na kuikosoa CCM na Serikali ni lini mliwaza hatima yetu?Je, Ni sawa kumtoa kafara yule mtoto? Kwanini sisi wakubwa tunaojua hatari tusijirekodi wenyewe na kujitoa muhanga?
Wewe ni mtu mzima mwenye elimu kubwa kuliko yule msichana.Acha unafiki... Sisi tunaotumia majina halisi na kuikosoa CCM na Serikali ni lini mliwaza hatima yetu?
Mara ngapi mnashadadia yatupate ya kutupata?
Utu uzima wangu haufanyi uhai wangu kuwa na thamani tofauti na wa yule Binti.Wewe ni mtu mzima mwenye elimu kubwa kuliko yule msichana.
Pia una taarifa sahihi za matukio yanayo weza kukupata hivyo tunaamini umechagua mwenyewe kujitoa muhanga(sadaka) ukiwa na ufahamu wako.
Unaweza kusema kitu kama hicho kwa yule binti?
Pia nilikuwa nahoji ushujaa wa yule aliyenishambulia upo wapi?
Mbona kajificha?
NO REFORMNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Umechagua mwenyewe kama vile alivyo chagua Mandela, Tundu Lissu, Polepole au Gwajima.Utu uzima wangu haufanyi uhai wangu kuwa na thamani tofauti na wa yule Binti.
Halafu ni Kwa nini mnatutisha sisi mnaodhani tutadhuriwa badala ya kuwashambulia wale wanaotaka kututendea mabaya?
Hivi kwa nini mnataka kumfanya yule Binti hajitambui na kurekodiwa kwake hakujua madhara yake?Umechagua mwenyewe kama vile alivyo chagua Mandela, Tundu Lissu, Polepole au Gwajima.
It's your consent, you are prepared for the outcomes. Ready to face the consequences of your actions, can you say the same thing to a young girl like that?
Sijajua unataka nikupe ushahidi wa aina gani ila maongezi ya wananchi kiasi kikubwa huonyesha kutomkubali Samia, hadi leo kila wanapokosoa huu uongozi wa Samia hurejea kumtaja Magufuli kipi alisema au kufanya ambapo ni tofauti na mambo yalivyo katika uongozi huu wa Samia.Nipe ushahidi wa na sababu inayo kufanya uone samia hakubaliki na Magufuli alikuwa akikubalika.