Huu mtazamo wako. Mimi sijasema wahalifu, watekaji, wauwaji, walawiti Wana haki ya kutenda hivyo.Halafu narudia tena, Kwa nini tunaona watenda mabaya wana haki ya kutenda mabaya huku watendewa mabaya tunaona ni watu wanaojitakia?
Unaweza ukayataja hayo mapungufu ya Samia katika huu uongozi wake halafu tulinganishe na hayo ambayo unasema Magufuli yalimshinda?Sasa mbona huyo magufuri unaye msema hana sifa hata moja kati ya hizo ulizo zitaja?
Usalama wa hovyo ni kipindi cha Magufuri ambapo watu walianza kutekwa na kuuawa viongozi wa kisiasa walipigwa lisasi kwenye viwanja vya bunge.
Usafiri ni kipindi cha Magufuri ambapo mradi wa mwendo kasi ulikufa ukawa unaendeshwa shagarabagara.
Hudumu za jamii ya kwamba magufuri aliacha amejenga hospital, ameajiri madaktali wa kutosha ,ameajili walimu wa kutosha, amejenga mashule ya kutosha,amejenga barabara za rami nchi nzima,amesambaza maji nchi nzima ila alipo kuja samia akavibomoa vyote?
Ndio maana nime sema kuwa kila mtu ana mtazamo wake kuhusu ubora wa kiongozi husika.
Na ndio maana walio kuwa wanashangilia utekaji kipindi cha Magufuri ndo hao hao wanao jifanya wanakemea utekaji unao fanywa na huyu mama.
Nyinyi wafuasi wa Magufuri mna mtazamo hasi na chuki dhidi ya huyu mama hivyo hata afanye nini hamuwezi kuona uzuri wake kwa sababu tiyari mna mtazamo hasi juu yake , lakini kiukweli huyu mama pamoja na mapungufu mengi lakini amefanya mambo mengi ambayo Magufuli aliyashindwa.
Ccm huwa wanatafutaga kuhalalisha tu ila wote tunajua na hata huyo Samia mwenyewe alikiri suala la ccm kuendelea kushika dola hilo ni lazima tu upige kura au usipige lazima iwe hivyo.Walokole tu awa wamekalilishwa na Wachungaji vimeo kufanya propaganda ya kitoto lkn MAMA NI M5 TENA !!
ata RiP JPM wako wasukuma awajamchagua !!
Ndiomana ya Uchaguzi wako huru. Muhimu tu waende kupiga kura..
...suala la ccm kuendelea kushika dola hilo ni lazima tu upige kura au usipige lazima iwe hivyo.
Na wewe umeingia kwenye mtego wa kumchafua daktari. Hivi siku ukiumwa nani atakutibu ?Kuwa na shukrani ni kuwahonga baiskeli ambazo nalo ni dili la watu kutakat8sha fedha chafu, na huku ardhi yao na mali zao wanahongwa wajomba OMAN, serikali ni wajibu wake kuleta maendeleo na wala haihitaji kupongezwa wala kushukuriwa maana ni pesa za wananchi wenyewe ,msiaminishe watu ujinga wenu mlio aminishwa ninyi na hao wakoloni wenu weusi mnao watetemekea na walamba matako l
Mzee yusuph makamba aliwahi kumwambia Mwandishi mmoja wa habari awe na shukrani.Mkuu hivi unaamini kwamba viongoz wanapendwa na watu wote?
Kama unalijua hilo basi chukulia kawaida sana.
Pili, hizo zawadi wananchi waliziomba?, Je, wangepewa uhuru wa kuchagua wapewe nini wangeomba hizo bikes.
Je, aliyewapa aliwapa kwa upendo wake kwao au alihonga? Kama aliwapa kwa upendo fadhira gani unazungumzia, na kama ni fadhira je, si mpaka wao wenyewe wa hiari?
Hana adabu.Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Kama ulikubali kupokea baiskeli utamchagua tuNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Unaamini kwamba hawawezi kujisemea wenyewe hadi wakaririshwe?.Waseme ukweli wapi, wamekaririshwa tu hayo wasemayo.