Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Huko ni kukosa shukrani, hii jamii inaonekana ina watu wasio na shukrani kama hao waliopokea zawadi za Daktari halafu wanakataa kulipa fadhila.
 
Hahaha ina maana kwa huu mtindo wa kikundi cha wauaji watawatafuta na hao wawaue??? Hahaha
 
Kwenda zako huko
Hawa wahuni wa kushabikia Simba na yanga?
Wanajua nini wapumbavu hao
 
Mimi sijampa lawama Magufuli ila nachoseme ni kwamba Magufuli alichagua aina ya uongozi wake ambao ulikuwa na utofauti na mtangulizi wake, sasa Samia kaachana na hiyo aina ya uongozi wa mtangulizi wake na kurudisha aina ya uongozi iliyokuwa sawa na Kikwete na hapo ndio shida inapokuja. Ila kama Magufuli aina ya uongozi wake usingetofautiana sana na Kikwete basi hata Samia asingepata upinzani sana kwa wananchi.
 
Kwanini lakini mnafanya hivi? Mnakosea sana kuwahatarisha watu innocent kama hao. 🙆 Mama Abdul na Chawa wake wamevurugwa sana, kiasi kwamba hasira zao zinaweza kuelekezwa kwa hao wanakijiji wasio na mahandaki wala namna nyingine ya kujilinda. Hayo mashetani ya mama ' Buduli' hayana huruma. 🤔🙆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…