The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Ni Tlaatlaah
Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.
Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi..
Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho ngumu wachache sana kama Lucas Mwashambwa, Troll JF, Laki Si Pesa na wengine wasiotajwa hapa..
Tuliwaambia kuwa, it's just a matter of time, kwamba, shetani daima ni adui wa Mungu na watu wake..
Shetani hana urafiki halali na genuine na binadamu..
Shetani ambaye aimejaa hadaa na ulaghai. Kazi yake siku zote ni kuvunja, kuiba, kuharibu na kuua...
Mawakala(agents) wa shetani wakimaliza kula walio nje, kwa kawaida huanza kutafuna watoto wake mwenyewe..!!!
Bado kidogo zamu ya Lucas Mwashambwa..
Mtakapoona amepotea humu, jueni kuwa mama ametoa sadaka kwa miungu yake; yaani majini na waganga wake..!!
Au mmesahau?
Wakati wa Jiwe (JPM), walikuwepo Chawa hatari waliokuwa waimba mapambio 24hrs/7days kina Simiyu Yetu, Diwani, johnthebaptist, Etwege na wengine kibao. Wako wapi?
Waliliwa vichwa!
Madhabahu yao ya kuabudia, kuhani wao mkuu alipokufa, Magufuli nao wakafa...
Hata hawa, watapotea mmoja baada ya mwingine na kuhani wao mkuu, madhabahu yao na mungu mtu wao Samia, akitoweka lazima watoweke naye..!!