Huyu Chawa alikuwa ni Team Dr Emmanuel Nchimbi. Kapigwa na kitu kizito mpaka haamini!

unaambiwa hao madogo bado wapo pale CCM HQ walipoingizwa kisanii. Mbaya zaidi akili zao ndogo na wanaendelea na mipango ya kishenzi ya kumchafua Namba 1. Maarufu ni yule aliyekuwaga Mkurugenzi wa Taasisi ya Sisi Tanzania ambaye Nchimbi alihakikisha anamuingiza usalama na maadili katika ofisi za Chama ili aweze kumtumia zaidi ktk majukumu yake. Huyu dogo akibinywa atasema mengi waliyokuwa wanatumwa kuyafanya.
 
Mimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia

Nina Muamini Rais Samia Kupita Mtu yeyote yule Baada ya Mungu na Wazazi .

Pia ni Lazima ufahamu Mheshimiwa Tlaatlaa Yupo humu jukwaani na hata jana nilikuwa naye kwenye uzi unaozungumzia Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika
Your wish is: KUFA NAYE UKIMTETEA..

I say, your wish has been granted in the name of the Living Almighty God..!
 
Ni Tlaatlaah

Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.

Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi..

Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho ngumu wachache sana kama Lucas Mwashambwa, Troll JF, Laki Si Pesa na wengine wasiotajwa hapa..

Tuliwaambia kuwa, it's just a matter of time, kwamba, shetani daima ni adui wa Mungu na watu wake. Shetani hana urafiki na binadamu. Amejaa hadaa na ulaghai. Kazi yake siku zote kuvunja, kuharibu na kuua...

Atakapoona au kuhisi amemaliza kula walio nje, kawaida mchawi na shetani huanza kutafuna watoto wake mwenyewe..!!!

Bado kidogo zamu ya Lucas Mwashambwa. Mtakapoona amepotea humu, jueni kuwa mama ametoa sadaka kwa miungu yake; yaani majini na waganga wake..!!
gentleman,
hakuna haja ya kupotosha wadau wa JF kindezi namna hiyo plz.
kwanza kabisa mimi sio sehemu ya hiyo nonsense narrative sijui ya nyumbu au chawa,
lakini pili,
hayupo wa kunipooza mimi kisiasa ndani na nje ya JF,
jambo la tatu, siwezi kua na hofu wala kuogopa chochote kile kisiasa ndani au nje ya JF, kwasababu nchi yetu hii ni huru na ya amani sana, kulikoni uishi kwa kuogopa? kwani wewe swala?

Tangu nimejiunga JF nimekua mwanasiasa, muhadhiri na mchambuzi mwandamizi wa siasa za kitaifa na kimataifa ambae daima hua naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.
Nimekua nikiunga mkono mambo yote muhimu ndani na nje ya vyama vya siasa vyote nchini bila upendeleo wala kificho, lakini pia nimekosoa na kupinga vikali mambo ya kihuni na ya kigaidi kama vile ya wale vijana wetu waliobebwa ufala wa kifikra na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kufanywa wawe majambazi na magaidi waliokua wakichoma vituo vya polisi, vituo vya mafuta, maduka na makazi ya watu, na kisha wakawa wanawapiga na kuwaangamiza wapiga kura na watu wote waliokataa kuunga mkono ugaidi wao.

in fact,
naiunga mkono serikali sikivu ya CCM chini ya rais Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania wote, kwa kazi kubwa na nzuri sana inayofanya katika kuwatumikia waTanzania wote na kuhakikisha kwamba amani, umoja na usalama wa waTanzania inakua ndio kipaumbele namba moja cha ustawi wa Taifa letu. Siwezi kumuomba ruhusa mtu kueleza ukweli huo. Na ninamuunga mkono rais Dr.Samia Suluhu Hassa kwa jitihada zake za makusudi katika kuchukua hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na kufanya maamuzi magumu ya kubadili wasaidizi na watendaji wa serikali yake ngazi ya taifa ili kuchochea ufanisi katika utendaji na kuwaletea waTanzania wote maendeleo.

hata hivyo,
politics is a science gentleman,
so,
don't allow yourselves to be confused by political dynamics globally or within your country, because, the nature of politics is inherently dynamic and unpredictable.

its better you relax, organise yourselves again, go back to the drawing table and find out way forward in doing your politics :NoGodNo:
 
Bora unyanyasi wa kijinsia kuliko utekaji,ufiraji na uuaji anaoufanya huyo bibi mvaa shanga na genge lake la akina Fwele boy.
Chukia mfumo usichukie mtu mfumo ndio mbovu na tukisema mfumo ni mkusanyiko wa watu au vitu vingi vinavyo jiendesha kwa pamoja ukielewa hilo hutamchukia mtu as a person kiasi hicho
 
Mimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia

Nina Muamini Rais Samia Kupita Mtu yeyote yule Baada ya Mungu na Wazazi .

Pia ni Lazima ufahamu Mheshimiwa Tlaatlaa Yupo humu jukwaani na hata jana nilikuwa naye kwenye uzi unaozungumzia Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika

Na bado hulambi Teuzi, alikua mwenzio Suphian sijui kapotelea wapi tenaa
Akaishia kukumbwa na skendo chafu na kupotea mazima.
Stay tuned, utafikiwa. 😂😂😂😂
 
"Elimu ya form six na miaka mitatu chuo kikuu"

Yaani hawa jamaa ni wahuni na blaa blaa nyingi...

Aseme tu wazi kuwa cost accounting ilimfyeka chini ya dr. Masoud...

Au alikuwa anakesha block G usiku na hapati muda wa kusoma!

Bora yeye, kuliko upande wenu waliojaa la 7 C, Na elimu zao mbali mbali na za hapa na pale.
😂😂😂😂😂
 
Hapana serikali ni mfumo unafanya kazi kuanzia ngazi ya chini hadi juu no single person can operate the system
Ni mfumo yeah na sijasema tofauti lakini licha ya kuwa ni mfumo bado kuna controller who decides the speed and direction, just imagine kilichomkuta Ima boy who 'officially' was second in command apart from being part and parcel of the inner system.
 
Mimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia

Nina Muamini Rais Samia Kupita Mtu yeyote yule Baada ya Mungu na Wazazi .

Pia ni Lazima ufahamu Mheshimiwa Tlaatlaa Yupo humu jukwaani na hata jana nilikuwa naye kwenye uzi unaozungumzia Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika
Mnyika yupi unamuongelea?ana div one .7 usijisahaulishe kuna mtu kaweka matokeo yake hapo chini
 
Kilichomkuta ima kinasadifu mfumo ambao hauna controller mmoja kwa maana hata huyo namba moja pia yanaweza kumkuta kama yaliyomkuta ima shahidi ni awamu ya tano

pambania mfumo usipambane na mtu kama mtu mmoja
 
Mnyika yupi unamuongelea?ana div one .7 usijisahaulishe kuna mtu kaweka matokeo yake hapo chini
Viongozi wa CHADEMA ni zero kabisa upande wa Elimu .Embu Angalia sugu ambaye ni Mwenyekiti wa kanda Elimu yake ni ya tiamaji tiamaji tu
 
Mimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia

Nina Muamini Rais Samia Kupita Mtu yeyote yule Baada ya Mungu na Wazazi .

Pia ni Lazima ufahamu Mheshimiwa Tlaatlaa Yupo humu jukwaani na hata jana nilikuwa naye kwenye uzi unaozungumzia Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika
Chawa Naona unabubujikwa tu machozi ya furaha .
 
Mimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia

Nina Muamini Rais Samia Kupita Mtu yeyote yule Baada ya Mungu na Wazazi .

Pia ni Lazima ufahamu Mheshimiwa Tlaatlaa Yupo humu jukwaani na hata jana nilikuwa naye kwenye uzi unaozungumzia Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika

Unasema unmtetea Samuya na uko tayari kufa wakati umeshindwa kulinda marinda hayo ,mpaka mwalimu wako KUKULU- KAKALA akasema ulipitiwa na wahuni .
 
Mimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia

Nina Muamini Rais Samia Kupita Mtu yeyote yule Baada ya Mungu na Wazazi .

Pia ni Lazima ufahamu Mheshimiwa Tlaatlaa Yupo humu jukwaani na hata jana nilikuwa naye kwenye uzi unaozungumzia Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika
Utafikiwa tu Muda ni Mwalimu mzuri
 
Ni Tlaatlaah

Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.

Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi..

Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho ngumu wachache sana kama Lucas Mwashambwa, Troll JF, Laki Si Pesa na wengine wasiotajwa hapa..

Tuliwaambia kuwa, it's just a matter of time, kwamba, shetani daima ni adui wa Mungu na watu wake..

Shetani hana urafiki halali na genuine na binadamu..

Shetani ambaye aimejaa hadaa na ulaghai. Kazi yake siku zote ni kuvunja, kuiba, kuharibu na kuua...

Mawakala(agents) wa shetani wakimaliza kula walio nje, kwa kawaida huanza kutafuna watoto wake mwenyewe..!!!

Bado kidogo zamu ya Lucas Mwashambwa..

Mtakapoona amepotea humu, jueni kuwa mama ametoa sadaka kwa miungu yake; yaani majini na waganga wake..!!

Au mmesahau?

Wakati wa Jiwe (JPM), walikuwepo Chawa hatari waliokuwa waimba mapambio 24hrs/7days kina Simiyu Yetu, Diwani, johnthebaptist, Etwege na wengine kibao. Wako wapi?

Waliliwa vichwa!

Madhabahu yao ya kuabudia, kuhani wao mkuu alipokufa, Magufuli nao wakafa...

Hata hawa, watapotea mmoja baada ya mwingine na kuhani wao mkuu, madhabahu yao na mungu mtu wao Samia, akitoweka lazima watoweke naye..!!
Anaitwaga Baraka
 
Mimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia

Nina Muamini Rais Samia Kupita Mtu yeyote yule Baada ya Mungu na Wazazi .

Pia ni Lazima ufahamu Mheshimiwa Tlaatlaa Yupo humu jukwaani na hata jana nilikuwa naye kwenye uzi unaozungumzia Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika
Kwanini unasema baada ya Mungu na wazazi? Mbona inaonekana ni kinyume chake? Kwa jinsi unavyomtetea na kumsifia Samia hakika ni utukuzo wa hali ya juu sidhani kama unamtukuza Mungu kwa kiwango hiko.
 
Back
Top Bottom