Dah!Ni @Tlaatlaah
Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.
Mkuu 'Palm Beach', na wewe unahadaiwa na maigizo mepesi kiasi hicho?
Hizo ni hadaa za "utaratibu" walioupanga wao kundi hilo; au lugha hiyo hujui maana yake ni nini?
Ukitaka kujuwa, nakuhakikishia hutamsikia tena akimzungumzia huyo uliyedhani ndiye anayemlisha uchafu wake.
Si ajabu utaanza kusikia akishutumu huyo unafikiri anamfanyia uchawa.
Hayo uliyosikia toka kwa huyo Tlaatlaah ni ulaghai uleule anaofanya Samia na Genge lote lililoiteka CCM.