The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
"Elimu ya form six na miaka mitatu chuo kikuu""Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika"
Huyo Luka ndiyo bibi Mvaa Shanga Kizimkazi mwenyewe, hiyo ni ID ya hilo shangingi limama lake Abdul.Ni Tlaatlaah
Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.
Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi..
Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho ngumu wachache sana kama Lucas Mwashambwa, Troll JF, Laki Si Pesa na wengine wasiotajwa hapa..
Tuliwaambia kuwa, it's just a matter of time, kwamba, shetani daima ni adui wa Mungu na watu wake. Shetani hana urafiki na binadamu. Amejaa hadaa na ulaghai. Kazi yake siku zote kuvunja, kuharibu na kuua...
Atakapoona au kuhisi amemaliza kula walio nje, kawaida mchawi na shetani huanza kutafuna watoto wake mwenyewe..!!!
Bado kidogo zamu ya Lucas Mwashambwa. Mtakapoona amepotea humu, jueni kuwa mama ametoa sadaka kwa miungu yake; yaani majini na waganga wake..!!
Tulionya tukapuuzwaNi Tlaatlaah

Kwa hiyo Mnyika naye ana "elimu mbalimbali". Hebu tuone ufaulu wake O_level. Lete matokeo tafadhali ili niamini."Elimu ya form six na miaka mitatu chuo kikuu"
Yaani hawa jamaa ni wahuni na blaa blaa nyingi...
Aseme tu wazi kuwa cost accounting ilimfyeka chini ya dr. Masoud...
Au alikuwa anakesha block G usiku na hapati muda wa kusoma!
HeeeKwa hiyo Mnyika naye ana "elimu mbalimbali". Hebu tuone ufaulu wake O_level. Lete matokeo tafadhali ili niamini.
Hongera mkuu kwa upendo mzito tani 150 ππΎππΎππΎππΎMimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia
Nina Muamini Rais Samia Kupita Mtu yeyote yule Baada ya Mungu na Wazazi .
Pia ni Lazima ufahamu Mheshimiwa Tlaatlaa Yupo humu jukwaani na hata jana nilikuwa naye kwenye uzi unaozungumzia Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika
Kwa hiyo Mnyika naye ana "elimu mbalimbali". Hebu tuone ufaulu wake O_level. Lete matokeo tafadhali ili niamini.
Ndio siku ya mwisho nilimwona anakanusha kuhusu barua ile na ndio siku ambayo nilimlima ignore kumbe hayupo?Ni Tlaatlaah
Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.
Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi..
Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho ngumu wachache sana kama Lucas Mwashambwa, Troll JF, Laki Si Pesa na wengine wasiotajwa hapa..
Tuliwaambia kuwa, it's just a matter of time, kwamba, shetani daima ni adui wa Mungu na watu wake. Shetani hana urafiki na binadamu. Amejaa hadaa na ulaghai. Kazi yake siku zote kuvunja, kuharibu na kuua...
Atakapoona au kuhisi amemaliza kula walio nje, kawaida mchawi na shetani huanza kutafuna watoto wake mwenyewe..!!!
Bado kidogo zamu ya Lucas Mwashambwa. Mtakapoona amepotea humu, jueni kuwa mama ametoa sadaka kwa miungu yake; yaani majini na waganga wake..!!
Na kinyani π€£π€£π€£ atakuwa kashakufa kifo kibayaMzee wa "GENTLEMAN "
hilo ni lichokoNi Tlaatlaah
Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.
Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi..
Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho ngumu wachache sana kama Lucas Mwashambwa, Troll JF, Laki Si Pesa na wengine wasiotajwa hapa..
Tuliwaambia kuwa, it's just a matter of time, kwamba, shetani daima ni adui wa Mungu na watu wake. Shetani hana urafiki na binadamu. Amejaa hadaa na ulaghai. Kazi yake siku zote kuvunja, kuharibu na kuua...
Atakapoona au kuhisi amemaliza kula walio nje, kawaida mchawi na shetani huanza kutafuna watoto wake mwenyewe..!!!
Bado kidogo zamu ya Lucas Mwashambwa. Mtakapoona amepotea humu, jueni kuwa mama ametoa sadaka kwa miungu yake; yaani majini na waganga wake..!!
Samia ni mkweo kiongozi huwezi kuacha kumshabiki mama mkwe wako. Wewe na Abdul ni maharusi wategemewa maana tunajua Abdul alishasema hana Marinda na pia anato watu MarindaMimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia