Dah!Ni @Tlaatlaah
Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi.
Ili libaba mbona lijinga hiviMimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia
Nina Muamini Rais Samia Kupita Mtu yeyote yule Baada ya Mungu na Wazazi .
Pia ni Lazima ufahamu Mheshimiwa Tlaatlaa Yupo humu jukwaani na hata jana nilikuwa naye kwenye uzi unaozungumzia Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika
Mkuu mbona Hujajibu hapo kwenye 1.7 ya Mnyika😀😀vipi elimu ya Heche nayo ni ya elimu mbalimbali? Ila sisi CCM tunajitakia tu kusemwa vibaya, sasa tukiambiwa tulete matokeo ya Mama Samia kidato cha nne tutasema nini?Viongozi wa CHADEMA ni zero kabisa upande wa Elimu .Embu Angalia sugu ambaye ni Mwenyekiti wa kanda Elimu yake ni ya tiamaji tiamaji tu
Unachosahau, mkuu 'Palm Beach', ni kwamba Nchimbi ilikuwa ni 'project' ya kulinda maslahi ya Samia na Genge.Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho ngumu wachache sana kama @Lucas Mwashambwa, @Troll JF, @Laki Si Pesa na wengine wasiotajwa hapa..
Wewe ndiye lijingaIli libaba mbona lijinga hivi
Hivi ile sio Bot kweli? Ule uandishi ni wa kirobotiMzee wa "GENTLEMAN "
We litahira kabisa yani huyo bibi ndio kitu gani hasaWewe ndiye lijinga
Kwa hiyo Mimi na bachelor yangu nimewazidi kwa mbali chadema na viongozi wake!!?Mimi Nipo Na Rais Samia Hadi Dakika Ya Mwisho . Nipo Tayari Kufa kwa ajili ya kumtetea asipatwe na Baya lolote lile . Nipo Tayari kuwa Ngao ya Rais Samia
Nina Muamini Rais Samia Kupita Mtu yeyote yule Baada ya Mungu na Wazazi .
Pia ni Lazima ufahamu Mheshimiwa Tlaatlaa Yupo humu jukwaani na hata jana nilikuwa naye kwenye uzi unaozungumzia Elimu za kuungaunga za Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na kidato cha sita Mnyika
Kwa hiyo Mnyika naye ana "elimu mbalimbali". Hebu tuone ufaulu wake O_level. Lete matokeo tafadhali ili niamini.