Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

Ndio ni Binti yake,kamaliza udom bila shaka mwaka 2015/16,hajawahi ku hustle huyo,katoka shule akatunukiwa ajira fasta!kwa jina la baba yake,
Ndani ya nchi hii,ni mwendo wa konection tu,
DED,DC,DED,DAS etc siku hizi Ni vyeo vya mzaha mzaha tu.Kijana wa Kijazi yeye katoka chuo tu akapewa cheo Cha DAS.Jiwe nae alimpa binti yake na mumewe vyeo hivyo vya DAS yaaani Ni fresh tu.
 
Duuh acha tusage lami sisi ambao hatuna connection. Binti mdogo kabisa amekula shavu.
Na mtasaga lami kweli msipochukua hatua madhubuti! Kilichobakia kwa sasa ni kupambana tu pale ulipo.

Maana hali ni tete! Gap kati ya aliye nacho na yule asiye nacho, linaongezeka kwa kasi ya ajabu.
 

Sasa unataka watoto wa vigogo ambao wamefaulu vizuri wakaaajiriwe wapi?

Au wafanye kazi gani?
 
Jipendekeze kwa viongozi mkuu ule mema ya Nchi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…