Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

Ndio ni Binti yake,kamaliza udom bila shaka mwaka 2015/16,hajawahi ku hustle huyo,katoka shule akatunukiwa ajira fasta!kwa jina la baba yake,
Ndani ya nchi hii,ni mwendo wa konection tu,
DED,DC,DED,DAS etc siku hizi Ni vyeo vya mzaha mzaha tu.Kijana wa Kijazi yeye katoka chuo tu akapewa cheo Cha DAS.Jiwe nae alimpa binti yake na mumewe vyeo hivyo vya DAS yaaani Ni fresh tu.
 
Nepotism inakuwa Kwa Kasi sana Tanzania.

Ndio maana, nchi hii maendeleo hakuna, maana watu hawapewi nafasi kwasababu Wana uwezo wa kufanya kazi.

Wanawekwa kwasababu ni watoto wa vigogo wao.

DED kama huyo usitegemer atafanya chcochote Cha maana huko.

Sasa unataka watoto wa vigogo ambao wamefaulu vizuri wakaaajiriwe wapi?

Au wafanye kazi gani?
 
Jipendekeze kwa viongozi mkuu ule mema ya Nchi!!!
 
Back
Top Bottom