wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Jiwe alivyoingia alimuondoa kwa mbwembwe,baadae akamrudisha kimya kimya.Naona mzee wake amekataa kabisa kuwaachia vijana ile kazi yake ya Ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe alivyoingia alimuondoa kwa mbwembwe,baadae akamrudisha kimya kimya.Naona mzee wake amekataa kabisa kuwaachia vijana ile kazi yake ya Ikulu
DED,DC,DED,DAS etc siku hizi Ni vyeo vya mzaha mzaha tu.Kijana wa Kijazi yeye katoka chuo tu akapewa cheo Cha DAS.Jiwe nae alimpa binti yake na mumewe vyeo hivyo vya DAS yaaani Ni fresh tu.Ndio ni Binti yake,kamaliza udom bila shaka mwaka 2015/16,hajawahi ku hustle huyo,katoka shule akatunukiwa ajira fasta!kwa jina la baba yake,
Ndani ya nchi hii,ni mwendo wa konection tu,
Hata mimi najiuliza wabongo ni watu wa hovyo sanaBaba yake Akiwa mpiga picha ndo inamnyima haki ya kuwa Ded?
Hajauliza swali hilo wala hajalalamika, ameuliza ubini wake tuBaba yake Akiwa mpiga picha ndo inamnyima haki ya kuwa Ded?
Na mtasaga lami kweli msipochukua hatua madhubuti! Kilichobakia kwa sasa ni kupambana tu pale ulipo.Duuh acha tusage lami sisi ambao hatuna connection. Binti mdogo kabisa amekula shavu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji124]Tusio na connection tuendelee tu kupata koneksheni za mange....
Nepotism inakuwa Kwa Kasi sana Tanzania.
Ndio maana, nchi hii maendeleo hakuna, maana watu hawapewi nafasi kwasababu Wana uwezo wa kufanya kazi.
Wanawekwa kwasababu ni watoto wa vigogo wao.
DED kama huyo usitegemer atafanya chcochote Cha maana huko.
Mkuu kumbe huko? Nilidhani umesusaa jamvi kwaajili ya ban ulizokuwa unapewa in ulipoteaga kipind in flan hapa kati.Kwa anayejua!!!
Kuwa DED siku hizi ni HAKI kama ilivyo HAKI nyingine?
Kuna watu wengine,wao ni kuwashobokea watoto wa fulaniKwahiyo ameshafanya ni I?
Wajiajiri.....ili nao waajiriSasa unataka watoto wa vigogo ambao wamefaulu vizuri wakaaajiriwe wapi?
Au wafanye kazi gani?
Wajiajiri.....ili nao waajiri
Ova
Hawajapewa nafasi, wapewe nafasi ndiyo uulize hivyoWatt ambao sio wa vigogo wamefanya nn cha maana nchi hii
Tupunguze chuki zisizo kuwa na msingi
Ina maana wafanyakazi wote serikalini ni watt wa viggHawajapewa nafasi, wapewe nafasi ndiyo uulize hivyo
kama ana kidhi vigezo basi ndio ni haki yake pasi kuangalia ni mtoto wa nani. Inakuwa tatizo endapo atapewa u DED kwa kigezo cha kuwa mtoto wa fulani.Kuwa DED siku hizi ni HAKI kama ilivyo HAKI nyingine?
Nani kamnyima haki hapo wakati jamaa kauliza tuBaba yake Akiwa mpiga picha ndo inamnyima haki ya kuwa Ded?