Mpk nashangaa kwa nini anakula ban wakati muda wote anatoa haha (Kichokoππ)kwenye comments na sijawahi kuona post yake yeyote mbaya kiasi cha kupewa ban.Member anayeongoza kwa kula Ban akifuatia Gentamicin π π
Ntakuja jamaaπ€£π€£..unawatisha watu eti kwa kutoa like...haaaahaa dunia haijawahi kukosa miujizaπππππ Mzee uje uniungishe nimeshusha ndizi za kutosha mikungu kama yote
π€£π€£Shambulio la ki comment hiliπππ lazma nimkamate
Sio tatizo lako, ni kukosa mvuto kwa mabasha, poleeeeehHivi kilikuuma nini hasa mpaka ukaumia kuona shog.a kuuwawa kwa kuingia choo cha kiume?
halafu unamsifia eti handsome[emoji28]
Nimecheka sanaΓ aaaa hivi ni uzi gani?.naona watu wengi wana mmaindi vile hatariiWe jamaa toka ukatishe Ile story Kila nkiona comments zako sijui nazionaje yaaan kama za kibwege, nisamehe lkn
πππMods wanatukomeshaga mashabiki wako lakini,, endelea kutupa rahaUkiona nimekula ban jua tu kuna pimbi nimem "Nazify" sababu ananongea upupu kwenye mambo serious πππ
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Maana muda wote lazima waku provokeKu deal na saikolojia ya chawa ni ngumu sana. Nahitaji kozi ya Chawaism Management
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumwambia mwanaume mwenzio "yuko bomba" hizo ni dalili za u cocastic
Kuna watu humu ndani wanafanya kazi kama 'taasisi'. Akaunti inaweza kuwa ni moja lakini iko operated na watu si chini ya kumi.Nyuzi na maoni ninayotoa huwa yanafuatiliwa kwa karibu na huyu Extrovert sijui lengo lake ni nini isije ikawa ni mzee wa Nissan Nyeupe.