Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Tunamshukuru kwa kuokoa uhai wa Tundu Lissu.Hakika alifanya kazi kubwa.

Mungu aendelee kubariki kazi za mikono ya Dr. Mpoki Ulisubisya.

Nje ya mada, hili jina Ulisubisya lina-sound kama la kihaya . Huyu daktari ni muhaya eeh !!!
Yaani kwa sababu Mpoki comedian anajiita "tajiri la kihaya" unafikiri ni jina la kihaya!, Yote Mpoki na Ulisubisya ni majina ya Kinyakyusa
 
Lile tukio liliumiza taifa kwa kiwango kikubwa mno.
 
Ukweli mchungu
 
CHADEMA waliandika nyuzi nyingi za kutukana watu kuanzia Ndugai aliyekuwa spika katika bunge lile.

Mwingine aliyefanikisha uokozi wa Lissu ni Hamza Johari aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya anga Tanzania. Alihakikisha vibali vya ndege vinapatikana haraka iwezekanavyo.

Hivyo wale chama wa CDM wanaopenda kudharau nafasi za watu wakumbuke kumheshimu Dr Ulisubisya na CAG Hamza Johari.
 
Na Mimi nilishiriki Mkuu.....nilisimama masaa kadhaa kwenye muarobaini mkabala na Mackey House ,karibu na fundi viatu almaarufu nyoka ...nikiomba Mungu amponye shujaa huyu!Nilifanya hivyo hadi alipopelekwa Uwanja wa Ndege; Glory to God!
 
Magufuli anyongwe uko alipo
 
Tangu lini Hamza Johari amekuwa CAG? Charles Kichere ameshatumbuliwa?
 
...na CAG Hamza Johari.

Hapo juu ni typo au ndio uelewa wako ulipoishia!!??
Hiyo "CAG" ni ya Controller and Auditors General au ni nyingine!!??
 
Wee ndo empty set pumbafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…