Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

Lissu angekufa mngamlaumu Mbowe kwamba hakufanya kitu, sasa amepona mnamlaumu kwamba hakumsaidia Lissu.
Mention more Toa data alichofanya mbowe ni kipi

It is simple orodhesha alichofanya mbowe ni nini ?
 
Kusaidia watu halafu unalialia kudai malipo ni ujinga.

Mimi mwenyewe Mungu kanisaidia kuna watu niliwaokota mtaani sasa hivi wana maisha mazuri ila hawakuwahi kurudi na wala sitarajii warudi kushukuru kwakuwa hapa Duniani kila mtu ana mission yake.
 
Wamiliki wa ndege iliyompeleka Lissu Nairobi walikuwa wanataka walipwe cash sasa kutokana na mazingira ya wakati ule CHADEMA hawakuwa na uwezo wa kulipa instantly ndipo Mbowe akamuomba Marehemu Turky (mbunge), awalipie kwa ahadi ya ku.lipa hivyo yule mbunge alikopesha hakutoa msaada kama baadhi wanavyodai na baadae alirudishiwa pesa zake na CHADEMA.

Mbowe ndiye alikuwa organiser mkuu na coordinator wa mchakato mzima nini kifanyike na kifanyikeje. Pia ile hospitali Nairobi ilitaka kianzio cha pesa ili matibabu yaanze hapo juhudi ya Mbowe ndiyo iliwezesha advance payment ikalipwa hosipitali.

Pia Baadae CHADEMA wakatoa namba ya akaunti za kuchangia matibabu watu mbalimbali wakachangia humo hata mimi nilichangia kupitia akaunti ya CRDB iliyotolewa. Wabunge pia walichangia ,

Mbowe pia alikaa Nairobi akisimania matibabu ya Lissu kwa miezi minne hivi huku ameacha biashara na familia yake; hayo yote huyo mleta mada haoni na anabeza eti mchango wa Mbowe ulikuwa sawa na wengine, nafikiri hayupo sawa kichwani huyo dokta na ni mnafiki.

Mamlaka ya anga ilitoa kibali tu ndege kutua na kutoka haikuhusika kutafuta ndege, eti ndiyo huyo mleta mada anawapa credit kuliko Mbowe wakati TCAA kazi yao ni kutoa vibali.

Mkuu wa mkoa huwa hausiki na masuala ya ndege kutua na kupaa, japokuwa kwa nafasi yake kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama angeweza kutoa order ( kuingilia mamlaka nyingine kibabe) kuwa hakuna ndege kuruka kwenda Nairobi na kweli ndege isingeruka lakini hastshili kupongezwa kwa sababu haikuwa kazi yake ya kila siku kuruhusu ndege kuruka na ingekuwa matumizi mabaya ya madaraka japo angepongezwa na mtawala, huyu naye anapewa credit na mleta mada kuliko Mbowe.

Mleta mada ( huyo doctor anayefanya WHO ) ni mnafiki ndio maana haoni mchango mkubwa wa Mbowe japo ni kweli ulisubya alitoa mchango muhimu katika zile hatua za mwanzo za kuokoa uhai wa Lissu.
 
Kwenye swala la Lissu,Mungu anasimama namba moja,hao wengine ni kwa msaada wa Mungu waliongozwa kufanywa waliyoyafanya.
Mungu apewe sifa🙏
 
Una uthibitisho au ushahidi usio tia mashaka katika hili? Uweke hapa tujiridhishe.
Aliwatuma wauaji wake waliokuwa wametapakaa nchi nzima kumuua Lissu kwani alikuwa tishio na chukizo kwake. Na amefanya mauaji ya watu wengi tu kama akina Ben Saanane na wengine watajulikana jinsi kunavyozidi kukucha. Kimsingi kila anayemsapoti Magufuli naye ni muuaji au mtu mkatili sana!
 
All in all,
Kuna lijamaa limenikera humu Jf muda huu..leo hii mpaka lime haribu mudi yangu limeni quote na Mara nyingi naonaga anapenda kujibizana ovyo OVYO

Watu Kama hao UNAWEZA wafanya Nini??!
😁 Cool down Mr , ngoja niteme cheche kidogo hapo chini ili tulisolve kisomi, fanya yafuatayo ili kulinda amani ya moyo wako:

-Puuza na usmijibu mjnga wa hivyo.
Mara nyingi kwa utafiti wangu mkuu naona watu wanaopenda kujibizana hovyo hovyo mara nyingi hawa wajinga hufurahia pale wengine wanapokasirishwa na maneno yao. Kutojibu na kumpuuza kunamnyima umakini na tension anayokuwa anaitafuta.


-Toa jibu la utulivu pale itakapobidi.
hakikisha unafanya hivyo kwa utulivu na
heshima. Hii inaweza kumfanya huyo kichaa ashindwe kuendelea na mijadala isiyo na maana na kupunguza tags.

-Tumia maneno ya hekima
just jaribu kumueleza kwa upole kwamba huoni umuhimu wa kujibizana, na ungependa kuzingatia mijadala yenye faida

-Epuka kubeba mzigo wa kihisia
Kumbuka kwamba haiba yake ni zao la tabia zake, na sio udhaifu wako mkuu. Hivyo kamwe Usiruhusu tabia zao kuathiri furaha yako.

-Shiriki nae mdahalo kwa njia ya ushauri

Kama ukipata nafasi, mshauri mtu huyo kwa upole, mfano:
"Naona tunakosa mawasiliano mazuri, labda tukiangalia mijadala yenye faida tutapata nafasi ya kujifunza zaidi."

Ukiona hali ni mbaya, ni sawa kuamua kuondoka kwenye mijadala hiyo ili utulize akili yako mkuu.

Utekelezaji mwema Mkuu na ikibidi mwambie akate shobo , Bahati mbaya JF imekosa block mkuu tungekuwa tunawalima watu wengi 🤣
 
Thanks you bro and this is what I was saying
 
Kwa kweli Mkuu

Na iwapo Chama akapewa Lissu, Kuna uwezekano tukaziona zile Siasa za Chadema za miaka ya 2007 hadi 2014

Ilikuwa ni Chadema Fulani hivi ya moto balaa, hadi Serikali walikuwa wanaogopa kufanya ufisadi wao hadharani sio kama saivi
KUna majembe yalitaka kufanya alichofanya Lissu ila yakastukiwa na kutimuliwa mfano zitto kabwe
 
Kwenye swala la Lissu,Mungu anasimama namba moja,hao wengine ni kwa msaada wa Mungu waliongozwa kufanywa waliyoyafanya.
Mungu apewe sifa🙏
Ni mara chache sana Mungu huonesha nguvu zake bila kuwatumia watu, mara nyingi Mungu hutumia WATU and the same God amesema, "....siku za mwisho watu wengine watakua hawana shukurani..." hili la kutokushukuru watu waliwahi kukusaidia, mbele za Mungu pia ni dhambi. Nazungumzia Ukristo, sizungumzii dini zingine
 
Nadhani unahitaji tu kueleweshwa!

Hilo la
Marehemu Turk nadhan hata Lissu alishalizungumzia na kuliweka sawa.

Wakati timu nzima iliyokuwa bungeni ikiendelea kupiga msako wa chini kwa chini kupata fedha, ndege iliruka kwa pledge ya pesa na mkurugenzi wa mamlaka ya ndege aliwaambia wamiliki iyondoke na atahakikisha upngozi wa chadema unasimamia vema hayo malipo, ….. elewa maana ya uongozi wa chadema.

Chadema ilipotoa Ac tu, pesa ililipwa manaa watanzania walichanga sna hata Diaspora walichanga hela nyingi sana…. I believe Lissu aliifanyia Audit ile Akaunti.

Kuna viongozi wakubwa pia walichanga kimya kimya….. unanipa mashaka kwenye hili kuwa mbowe ndio alisimamia. Mambo ya fedha zilizochangwa kama alikuwa anasimamia Mbowe badala ya wahasibu… huoni kama hilo ni tatizo… na ndio maana tunasema mbowe anapata pesa kwa njia zisizo rasmi

Mamlaka ya Anga inakazi ya kumtafutia mtu ndege? Wapi imeandikwa hivyo

Ukishakuwa DG unakuwa unasikilizwa na una connection, DG ndio alisaidia ku facilitate na kuwahikikishia malipo yao yatafanyika kwa haki. Kilichofanyika ni kutumia nafasi yake kusaidia mambo….

DG ni mtu sio Mamlaka ya Anga, na hata yeye ndio ali kimbiza process zote kwa nafasi yake Hapo huelewi kipi? You need more details .?

Mbowe hakuwa Orchistrator mkuu, waliokuwa planners ni govt officers !


Labda nikuulize, unajua utaratibu wa kusafirisha mgonjwa nje?
Mbowe knows all govt procedures ?
Try to think

Kazi ya mbowe kubwa ilikuwa ni kuwepo kwenye tukio ili ionekane mwenyekiti kashiriki….lakini kazi kubwa ilifanywa na officers wengine walikuwa wanapigiwa simu tu chap chap

Na unielewe sina maana Mbowe was useless , but hata asingekuwepo Lissu angepata huduma. Hata kwenye pesa waliochangia ni wqtanzqnia sio mbowe… chadema ilitoa fungu kiasi kidogo sana

Suala la kwenda Nairobi… hata Samia alienda, Kitima alienda pia, Pengo alienda pia ….. kwenda kwa mwenyekiti sio big issue … many people went there including zitto

Stop lying Mbowe hakukaa four months Nairobi. Mke wa lissu anaweza Thibitisha hili.
 
Shida ya Mbowe anataka kufanya bila yeye Lisu angefariki kitu ambacho si kweli. Ni kama anaonyesha amemuokoa Lisu ili aje agombee nafasi yake ama? Kwa maneno marahisi ni kama anajuta kwanini hakumuacha afe ili asije kumsumbua

kwa moyo niliouona kwa Mbowe, ni kweli ni gaidi
 
Itakua una chuki na mbowe.kwahiyo ulitaka nayeye awe daktari.pumbafu kabisa.misaada iko mingi ata mtu kukupisha kwenye folen hospitalini ili utibiwe haraka ni msaada.Tunahitaji kujua waliomshambulia lisu kuliko hizo porojo kwasababu hazina msaada kwa nchi.Kesho mbowe na lissu wakikaa wakagonga chias niwewe ndiye utakayekua na sonona..
 
Haya yote ameyataka Mhe. Lissu kwaajili ya kutaka kwake kugombea nafasi ya Mwenyekiti wetu

Ila in serious note, Mhe. Mbowe amepanic sana kwenye huu Uchaguzi

Hakutegemea kama Lissu angefahamu mchezo wake katika stage ile
Lissu kachafua hali ya hewa au sio
 
Ndio chap chap simu zikaanza kutembea kupata vibali na ndege to Nairobi....
Huko Nairobi aliishia tu uwanja wa ndege? Ni vyema kuweka rekodi sawa kuwa Wenje alitafuta hospitali mbili, na walipofika airport wakakuta ambulance za hospitali mbili tofauti zinawasubiri, wakapanda ya hospitali ambayo walau walimudu gharama zake. Ni vizuri Wenje atajwe hapo, maana Nairobi tu ni Jiji, lakini lengo lilikuwa ni matibabu
 
Sio Jakaya ambaye inasemekana kuwa alinasa mchongo wa CEO wa wakati ule wa kumpeleka Lissu akaungane na Malaika mbinguni na kuwa msemaji mkuu wa malaika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…