Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

WAMASAI NAO WANAPOKEA UPAKO WA HARUFU NJEMA KAWE
 
Mwamposa ni Mtume wa Mungu ni ngumu kudanganya dunia nzima,
 
Kuna watu humu wanawalisha waganga supu za Mbuzi kila week wao hawaliwi?😅Eti supu ya mzimu😂😂.
Sasa ningesema kitu au basi, ila wa kwenda kwa buludoza waende, kwa richard waende Wa maombi binafsi waende LAKIN MSINGI NI NENO TU
 
Mwamposa hahangaiki na dini ya mtu elewa hivyo
Ni kweli mfanyabiashara hawezi kuangaika na imani za watu, jamaa anafanya biashara ya miujiza hivyo hivyo hawezi kubagua dini za wateja.
 
Ni kweli mfanyabiashara hawezi kuangaika na imani za watu, jamaa anafanya biashara ya miujiza hivyo hivyo hawezi kubagua dini za wateja.
Kwani Yesu alikuwa anauliza dini za watu?

Dini ni mambo ya wanadamu tu Mungu na Yesu pamoja na roho Mtakatifu wanataka imani tu
 
Kwani Yesu alikuwa anauliza dini za watu?

Dini ni mambo ya wanadamu tu Mungu na Yesu pamoja na roho Mtakatifu wanataka imani tu
Miujiza ya Yesu aliifanya kwa lengo lipi na akina Mwamposa sasa hivi wanafanya miujiza kwa lengo lipi? Sasa hivi kuna manabii wana wafuasi wao na mashabiki zao na kikubwa ni miujiza tu, unakuta mtu kahama kwa nabii fulani kaenda kwa nabii kwa sababu ana miujiza mikubwa zaidi. Unajenga sehemu maalumu ya kutolea miujiza na miujiza yenyewe ni kuwapa watu mambo ya kidunia zaidi.
 

Labda nikusaidie kidogo,

Mwamposa hana uwezo hata wa kumponya mtu Malaria ila Mungu kupitia jina la Yesu kristu,

Kwakuwa ni Yesu ndio anafanya hiyo miujiza ndio hivyo Yesu mwenyewe anajua analenga nini?

Hizi sadaka ni mambo ya kawaida hata kwa waganga sadaka zinatoka
 
Boni kumbe nae ana chawa humu JF, makubwa!
 
Kwanza kabisa kiusahihi wanayofanya akina Mwamposa si miujiza. Huku kumuombea mtu apate kazi sijui gari au sijui kutibu uchawi na ukimwi si miujiza.

Miujiza ni kitu kikubwa na si haya anayofanya Mwamposa ambayo unaweza kuyapata kwa bidii au kwa waganga wa kienyeji, hakuna miujiza hapo.
 
Yohana 6
26 Yesu akawajibu, “Ni wazi kwamba ninyi hamnitafuti kwa kuwa mliona ishara na miujiza ninayofanya, isipo kuwa mnanitafuta kwa sababu mlikula mikate mkashiba. 27 Msishug hulikie sana chakula kiharibikacho bali shughulikieni chakula kidumucho; chakula cha uzima wa milele. Chakula hicho, nitawapeni mimi Mwana wa Adamu, ambaye Baba Mungu mwenyewe amenithibit isha.”
 
Mungu ana njia nyingi juu ya watu wake kwa kutumia mtu.
Usije uka dhihaki ukajikuta unaingia kwenye vita na Mungu.
By summing up watu waendao pale si wapumbvu.
Omba yasikukute.
Utaanzia kwa waganga utamalizia hapo unapopa dhihaki.
 
Mungu ana njia nyingi juu ya watu wake kwa kutumia mtu.
Usije uka dhihaki ukajikuta unaingia kwenye vita na Mungu.
By summing up watu waendao pale si wapumbvu.
Omba yasikukute.
Utaanzia kwa waganga utamalizia hapo unapopa dhihaki.
Ushauri mzuri sana huu, "no research no right to say" ,
 
Wapumbavu huhamasishana waende kule mara huku kuna miujiza, ni umbumbumbu wa SGR levels.

Duniani kote Mungu hupatikana Kawe tu? nina wasiwasi na akili zetu Waafrika kiuumbwaji...
Usiite wapumbafu hata kama hukubaliani nalo, japo si mfuasi wake ila sio vyema na huenda hata ndugu zako wanatumia maji na mafuta nawewe unatumia bila kujua [emoji3][emoji3][emoji3] maana vifaa vya upako karibia nchi nzima au nusu vipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…