TaiPei
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 572
- 608
Ukombozi wa nini?najua hilo.wewe Leo yaukombozi umetoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukombozi wa nini?najua hilo.wewe Leo yaukombozi umetoa?
Huna tofauti na mchawi Sasa wewesijui muulize pasta wako
Inshallah! nenda kapokee uponyaji!Mimi sio Mkristu ila Jumapili asubuhi Insha'allah nitafika hapo Kawe asubuhi
Mwamposa hahangaiki na dini ya mtu elewa hivyoInshallah! nenda kapokee uponyaji!
Mwamposa ni Mtume wa Mungu ni ngumu kudanganya dunia nzima,View attachment 2849652View attachment 2849653View attachment 2849654
View attachment 2849655
Habari Tanzania,
Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer.
Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es Salaam Tanzania.
Apostle Bonface Mwamposa amekuwa na wafuasi wengi wanaoongezeka siku baada ya siku mwezi baada ya mwezi au mwaka kwa mwaka yaani ni mamilioni kwa mamilioni ya waamini toka nje na ndani ya bara la Africa,
Apostle Bonface Mwamposa, ibada zake zote hazina Misingi ya dini au dhehebu lolote ila " IMANI KWA YESU KRISTU NA MUNGU ALIYEMTUMA "
Apostle Bonface Mwamposa, anahudumia Watu wakristo kwa Watu Waisilamu au hata wale wote wasio na dini kabisa kama akina Yeriko Nyerere nao pia wakiamini wanapokea uponyaji wa mwili na roho pamoja na haja zao kutimilizwa na Mungu wa Boniface anayejibu kwa Moto,
Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwambia Mhe Dkt Willium Ruto kwamba "Nenda Utashinda Uchaguzi" na mishowe Ruto akashinda Urais,
Bila Mungu ilikuwa ni ngumu sana mtu kama Mhe Willium Samoi Ruto kuwashinda Mhe Raila Omolo Odinga na Kenyatta Uhuru ila Mungu wa Boniface akafanya jambo pale Kenya na dunia ikashangaa kilichotokea,
Apostle Bonface Mwamposa, Ndiye aliyemwombea pia Mhe Dkt Tulia Ackson na akashinda na kuwa Spika wa mabunge yote Duniani ( IPU ) hata Leo,
Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwombea kaka yetu Fiston Kalala Mayele na akawa mchezaji bora wa wakati wote Nje na ndani ya Tanzania nadhani sote tunakumbuka huyu kijana anayechezea timu Pyramids FC hivi Sasa,
Orodha ya waliosaidiwa na Mungu kupitia kwenye kinywa Cha Apostle Bonface Mwamposa ni wengi na hawahesabiki,
Wengine wanakwenda kwa Siri na hawataki mtu yeyote awaone maranyingi hawashuki kwenye magari yao but wanatendewa japo ni ujinga kujificha au kuficha Matendo Makuu ya Mungu wakati kwa waganga mnakwenda tena waziwazi.
Hoja yangu hapa ni , Je? Mwamposa kwa kuzingatia mafundisho yake na Upako alionao huenda ni kweli huyu bwana akawa ni mwana wa Mungu ila sisi imani zetu zimekamatwa na shetani na hivyo tunashindwa kutofautisha kati ya kazi za Shetani na kazi za Mungu?
====
Kama hujawahi kwenda au kumsikiliza Apostle Bonface Mwamposa jipe muda wa kumfuatilia kabla hujamsema vibaya kwani ni kujitafutia laana toka kwa Mungu ALIYEMTUMA MWAMPOSA.
Mfuatilie: Azam channel No 469
Startimes channel No 117
You tube: Mwamposa Live
You tube : Arise & shine Tanzania
Instagram: Arise & shine Tanzania
Ni kweli mfanyabiashara hawezi kuangaika na imani za watu, jamaa anafanya biashara ya miujiza hivyo hivyo hawezi kubagua dini za wateja.Mwamposa hahangaiki na dini ya mtu elewa hivyo
Kwani Yesu alikuwa anauliza dini za watu?Ni kweli mfanyabiashara hawezi kuangaika na imani za watu, jamaa anafanya biashara ya miujiza hivyo hivyo hawezi kubagua dini za wateja.
Miujiza ya Yesu aliifanya kwa lengo lipi na akina Mwamposa sasa hivi wanafanya miujiza kwa lengo lipi? Sasa hivi kuna manabii wana wafuasi wao na mashabiki zao na kikubwa ni miujiza tu, unakuta mtu kahama kwa nabii fulani kaenda kwa nabii kwa sababu ana miujiza mikubwa zaidi. Unajenga sehemu maalumu ya kutolea miujiza na miujiza yenyewe ni kuwapa watu mambo ya kidunia zaidi.Kwani Yesu alikuwa anauliza dini za watu?
Dini ni mambo ya wanadamu tu Mungu na Yesu pamoja na roho Mtakatifu wanataka imani tu
Miujiza ya Yesu aliifanya kwa lengo lipi na akina Mwamposa sasa hivi wanafanya miujiza kwa lengo lipi? Sasa hivi kuna manabii wana wafuasi wao na mashabiki zao na kikubwa ni miujiza tu, unakuta mtu kahama kwa nabii fulani kaenda kwa nabii kwa sababu ana miujiza mikubwa zaidi. Unajenga sehemu maalumu ya kutolea miujiza na miujiza yenyewe ni kuwapa watu mambo ya kidunia zaidi.
Boni kumbe nae ana chawa humu JF, makubwa!View attachment 2849652View attachment 2849653View attachment 2849654
View attachment 2849655
Habari Tanzania,
Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer.
Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es Salaam Tanzania.
Apostle Bonface Mwamposa amekuwa na wafuasi wengi wanaoongezeka siku baada ya siku mwezi baada ya mwezi au mwaka kwa mwaka yaani ni mamilioni kwa mamilioni ya waamini toka nje na ndani ya bara la Africa,
Apostle Bonface Mwamposa, ibada zake zote hazina Misingi ya dini au dhehebu lolote ila " IMANI KWA YESU KRISTU NA MUNGU ALIYEMTUMA "
Apostle Bonface Mwamposa, anahudumia Watu wakristo kwa Watu Waisilamu au hata wale wote wasio na dini kabisa kama akina Yeriko Nyerere nao pia wakiamini wanapokea uponyaji wa mwili na roho pamoja na haja zao kutimilizwa na Mungu wa Boniface anayejibu kwa Moto,
Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwambia Mhe Dkt Willium Ruto kwamba "Nenda Utashinda Uchaguzi" na mishowe Ruto akashinda Urais,
Bila Mungu ilikuwa ni ngumu sana mtu kama Mhe Willium Samoi Ruto kuwashinda Mhe Raila Omolo Odinga na Kenyatta Uhuru ila Mungu wa Boniface akafanya jambo pale Kenya na dunia ikashangaa kilichotokea,
Apostle Bonface Mwamposa, Ndiye aliyemwombea pia Mhe Dkt Tulia Ackson na akashinda na kuwa Spika wa mabunge yote Duniani ( IPU ) hata Leo,
Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwombea kaka yetu Fiston Kalala Mayele na akawa mchezaji bora wa wakati wote Nje na ndani ya Tanzania nadhani sote tunakumbuka huyu kijana anayechezea timu Pyramids FC hivi Sasa,
Orodha ya waliosaidiwa na Mungu kupitia kwenye kinywa Cha Apostle Bonface Mwamposa ni wengi na hawahesabiki,
Wengine wanakwenda kwa Siri na hawataki mtu yeyote awaone maranyingi hawashuki kwenye magari yao but wanatendewa japo ni ujinga kujificha au kuficha Matendo Makuu ya Mungu wakati kwa waganga mnakwenda tena waziwazi.
Hoja yangu hapa ni , Je? Mwamposa kwa kuzingatia mafundisho yake na Upako alionao huenda ni kweli huyu bwana akawa ni mwana wa Mungu ila sisi imani zetu zimekamatwa na shetani na hivyo tunashindwa kutofautisha kati ya kazi za Shetani na kazi za Mungu?
====
Kama hujawahi kwenda au kumsikiliza Apostle Bonface Mwamposa jipe muda wa kumfuatilia kabla hujamsema vibaya kwani ni kujitafutia laana toka kwa Mungu ALIYEMTUMA MWAMPOSA.
Mfuatilie: Azam channel No 469
Startimes channel No 117
You tube: Mwamposa Live
You tube : Arise & shine Tanzania
Instagram: Arise & shine Tanzania
Kwanza kabisa kiusahihi wanayofanya akina Mwamposa si miujiza. Huku kumuombea mtu apate kazi sijui gari au sijui kutibu uchawi na ukimwi si miujiza.Labda nikusaidie kidogo,
Mwamposa hana uwezo hata wa kumponya mtu Malaria ila Mungu kupitia jina la Yesu kristu,
Kwakuwa ni Yesu ndio anafanya hiyo miujiza ndio hivyo Yesu mwenyewe anajua analenga nini?
Hizi sadaka ni mambo ya kawaida hata kwa waganga sadaka zinatoka
Yohana 6Labda nikusaidie kidogo,
Mwamposa hana uwezo hata wa kumponya mtu Malaria ila Mungu kupitia jina la Yesu kristu,
Kwakuwa ni Yesu ndio anafanya hiyo miujiza ndio hivyo Yesu mwenyewe anajua analenga nini?
Hizi sadaka ni mambo ya kawaida hata kwa waganga sadaka zinatoka
Ushauri mzuri sana huu, "no research no right to say" ,Mungu ana njia nyingi juu ya watu wake kwa kutumia mtu.
Usije uka dhihaki ukajikuta unaingia kwenye vita na Mungu.
By summing up watu waendao pale si wapumbvu.
Omba yasikukute.
Utaanzia kwa waganga utamalizia hapo unapopa dhihaki.
Usiite wapumbafu hata kama hukubaliani nalo, japo si mfuasi wake ila sio vyema na huenda hata ndugu zako wanatumia maji na mafuta nawewe unatumia bila kujua [emoji3][emoji3][emoji3] maana vifaa vya upako karibia nchi nzima au nusu vipoWapumbavu huhamasishana waende kule mara huku kuna miujiza, ni umbumbumbu wa SGR levels.
Duniani kote Mungu hupatikana Kawe tu? nina wasiwasi na akili zetu Waafrika kiuumbwaji...