Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

Mwamposa ni mtu wa Mungu
 
Una Maralia plusplus!
 
Waache wafu wazikane wao kwa wao
 
Kwani yupo ambaye ni mtoto wa shetani hapa chini ya jua? Wote ni wana wa Mungu sema huyu mungu anayemtumkia ni yupi ndio swali la msingi? Ni wale wakuu wa bahari au Mungu muumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…