Mr Beast
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 311
- 435
Hata Yesu alikuwa mtoto wa fundi SeremalaDu amewashika kweli kweli wajingaView attachment 2849728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Yesu alikuwa mtoto wa fundi SeremalaDu amewashika kweli kweli wajingaView attachment 2849728
Mwamposa ni mtu wa MunguView attachment 2849652View attachment 2849653View attachment 2849654
View attachment 2849655
Habari Tanzania,
Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer.
Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es Salaam Tanzania.
Apostle Bonface Mwamposa amekuwa na wafuasi wengi wanao ongezeka siku kwa siku mwezi kwa mwezi au mwaka kwa mwaka yaani ni mamilioni kwa mamilioni ya waamini toka nje na ndani ya bara la Africa,
Apostle Bonface Mwamposa, ibada zake zote hazina Misingi ya dini au dhehebu lolote ila " IMANI KWA YESU KRISTU NA MUNGU ALIYEMTUMA "
Apostle Bonface Mwamposa, anahudumia wakristo kwa Waisilamu hata wale wote wasio na dini kabisa kama akina Yeriko Nyerere nao pia wakiamini wanapokea uponyaji wa mwili na roho pamoja na haja zao kutimilizwa na Mungu wa Boniface,
Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwambia Dkt Willium Ruto kwamba "Nenda Utashinda Uchaguzi" na mishowe Ruto akashinda Urais,
Bila Mungu ilikuwa ni ngumu sana mtu kama Mhe Willium Samoi Ruto kuwashinda Mhe Raila Omolo Odinga na Kenyatta Uhuru ila Mungu wa Boniface akafanya jambo pale Kenya na Dunia ikashangaa,
Apostle Bonface Mwamposa, Ndiye aliyemwombea Dkt Tulia na akashinda kuwa Spika wa mabunge yote Duniani ( IPU ) hata Leo,
Apostle Bonface Mwamposa, ndiye aliyemwombea kaka yetu Fiston Kalala Mayele na akawa mchezaji bora wa wakati wote Nje na ndani ya Tanzania nadhani sote tunakumbuka huyu kijana anayechezea Pyramids hivi Sasa,
Orodha ya waliosaidiwa na Mungu kupitia kwenye kinywa Cha Apostle Bonface Mwamposa ni wengi wengine wanakwenda kwa Siri na hawashuki kwenye magari yao ila wanatendewa japo ni ujinga kujificha au kuficha matendo ya Mungu wakati kwa waganga mnakwenda tena waziwazi.
Hoja yangu hapa ni , Je? Mwamposa kwa kuzingatia mafundisho yake na upako alionao huenda ni kweli huyu bwana akawa ni mwana wa Mungu ila sisi imani zetu zimekamatwa na shetani na hivyo tunashindwa kutofautisha kati ya kazi za shetani na kazi za Mungu?
====
Kama hujawahi kwenda au kumsikiliza Apostle Bonface Mwamposa jipe muda wa kumfuatilia kabla hujamsema vibaya,
MFuatilie: Azam channel No 469
Startimes No 117
You tube: Mwamposa Live
: Arise & shine Tanzania
Instagram: Arise & shine Tanzania
Jibu mujarabuHata Yesu alikuwa mtoto wa fundi Seremala
Una Maralia plusplus!View attachment 2849652View attachment 2849653View attachment 2849654

Waache wafu wazikane wao kwa waoView attachment 2849652View attachment 2849653View attachment 2849654

Simba na Yanga nabii wao ni Machimo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]NAOMBA SIMBA SC WAFIKE MARA MOJA KAWE BILA KUCHELEWA,
Tutachukua kombe kupitia Mungu
Tb Joshua alingoka mbonaHivi T.B Joshua aliishia wapi?
Siku hizi hakuna haja ya kwenda Lagos nogeria, unaenda Kawe tu!
Acheni kusubiri shortcut kwenye maisha, lazima ule kwa jasho!
Bwana Yesu hajawahi kuwatapeli watuHata Yesu alikuwa mtoto wa fundi Seremala
Hapa ndio sehemu pekee anapashwa kuangalia kwa makiniMtumishi wa Mungu akianza kujihusisha na Wanasiasa shtuka