Huyu jamaa anaitwa Kuringe kaingia mjini

Kwamba Jerry Silaa ndiye mkombozi wa Watanzania kwenye suala la ardhi?
Alijitahidi sana kumaliza migogoro kwa haki na haraka bila ya kuangalia mtu usoni , maana alishambulia hadi mapapa wa ardhi ambao wamekuwa hawagusiki kwa kipindi kirefu, na baada ya kutolewa kuna kuringe na genge lao wameanza tena kutumia pesa kupora haki,
 
Hao watoto wa maftah si wana mama wa kambo

Ova
 
Sijui walifikiria nini kumtoa jerry slaa kwenye hii wizara, kipindi cha jerry upuuzi kama huu usingekuwepo ni uvamizi huu kama uvamizi mwingine
Ndio utajua wivu wa watanzania, Kwani kuwekeza ni kosa Gani, zaidi ya kufurahia upanuzi wa wigo wa Kodi!? Pia utoaji wa ajira??? Mtu kauza kiwanja na kuridhia Kuna kosa Gani!? Ni jukumu la wizara ya ardhi kuhamasisha Hawa wawekezaji wawekeze kulingana na mipango miji (kama IPO!!!) zaidi ya hapo naona mtoa hoja ana wivu wa maendeleo
 
Watu wanataka kufanya mambo
makubwa zaidi ya hizo frame

ova
Ndugu yangu unaona namna wengi wetu tunavyofikiri, kama huu wivu wa maendeleo ukipungua Tanzania itakuwa kama New York!! Mifremu Ile ya vioo ndio mtu anaisemea pazuri,!? Jukumu la serekali ni kuwawezesha Hawa wawekezaji na sio kuwavunja moyo
 
Labda hata huo mkataba wa miaka kumi maftah alirubuniwa bila kujua madhara yake, hivyo hao wapangaji wajitafakari pia, mkataba wa miaka kumi ni unyonyaji kama unyonyaji mwingine
 
Ndugu yangu unaona namna wengi wetu tunavyofikiri, kama huu wivu wa maendeleo ukipungua Tanzania itakuwa kama New York!! Mifremu Ile ya vioo ndio mtu anaisemea pazuri,!? Jukumu la serekali ni kuwawezesha Hawa wawekezaji na sio kuwavunja moyo
Kabisa,ila kuringe hapo wala hana tatizo ...ttz liko kwa mmiliki na wapangaji wake tu wa zamani
Alafu kwa upande wa mzee maftah naona watoto washing ilia...so kuna mambo ya kifamilia zaidi

Ova
 
Ninachokiona huyu maftah alitapeliwa, huwezi mpangisha MTU nae apangishe MTU mwingine bila maridhiano, huyu Dada nae anaisemea kampangisha MTU mwingine, hata NHC hii haikubaliki, Maftah katapeliwa
 
Sijui walifikiria nini kumtoa jerry slaa kwenye hii wizara, kipindi cha jerry upuuzi kama huu usingekuwepo ni uvamizi huu kama uvamizi mwingine
Tatizo lenu wabongo huwa mnapagawa na kiki za viongozi wakiwa wanamulikwa na camera ilhali chanzo cha matatizo hakitafutiwi suluhisho la kudumu. Huyo jery slaa ni msanii km walivyo wanasiasa wengine.
 
Kabisa,ila kuringe hapo wala hana tatizo ...ttz liko kwa mmiliki na wapangaji wake tu wa zamani
Alafu kwa upande wa mzee maftah naona watoto washing ilia...so kuna mambo ya kifamilia zaidi

Ova
Ni SAWA Mambo ya familia, yanaweza kuwepo ila pia huo mkataba na huyo mpangaji nao ni ukakasi zaidi , how mkataba for ten years!! Hapana Kuna shida, ila maendeleo ya miji yetu yanawahitaji akina Kuringe wengi zaidi
 
Ndugu yangu unaona namna wengi wetu tunavyofikiri, kama huu wivu wa maendeleo ukipungua Tanzania itakuwa kama New York!! Mifremu Ile ya vioo ndio mtu anaisemea pazuri,!? Jukumu la serekali ni kuwawezesha Hawa wawekezaji na sio kuwavunja moyo
Hata huyo atajenga hiyo hiyo mifremu. Unafikiri Kuna uwekezaji gani utafanywa hapo?
Ni kujenga ukumbi wa harusi nje ataweka fremu. Au unafikiri atajenga kiwanda?
 
Asee nimejaribu kujenga picha hapa namna muonekano wa mzee wa watu alivyofanywa nimecheka sana. Anyway haya mambo yana changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…