Hata mimi naweza ku post maneno hayo. Huo ni msimamo wa kamati kuu ya chadema na sasa umeudhinishwa pia na mkutano mkuu wa Chadema.Kumbe nyuma ya pazia ni mke mdogo wa mwenyekiti hata pesa ya fomu iltoka huko....yeye ni nani mpaka apangie watu!.....