Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

Hivi ile movie yake ya kutekwa ilirudisha gharama ya uzalishaji?!!! Na,aanisha ililipa?!!!
 
View attachment 3215101
Nimeona huu ujumbe wa Maria Sarungi anakemea wanaojiunga Chadema. Ana nafasi gani huyu mpaka anatoa msimamo mkali kama huu kwenye mambo ya chama?

Nakumbuka Mbowe alikuwa anasema anataka kukiokoa chama kisichukuliwe na wanaharakati kwa kuwa hajui dhamira yao nini. Inawezekana kuna mambo yapo nyuma hatuyaelewi?
blood tumbaku, wewe nani chadema mpuuzi mkubwa.
 
Maria Sarungi ni nani ndani ya Chadema mpaka awapangie watu View attachment 3214527
Kususia uchaguzi itakuwa inahalalisha kuzamisha Chadema na kulipa nguvu ACT kama ilivyotarajiwa. Nakuhakikishia Chadema ya Antipasu ikiingia Madarakani kwa katiba na Tume huru ya Sasa ya Uchaguzi hutasikia mambo ya "No reform no election " kwa sababu lengo lao si kutatua changamoto za kiuchumi za mtu mmoja moja, Wala changamoto za social decay ukiukwaji wa maadili na rushwa, Wala si changamoto za kiteknolojia za kutatua changamoto za jamii bali ni madaraka tu! Ndiyo maana Hata kwenye Ilani Yao ya 2020 waliosema watauza migodi kwa wageni!!!
 
Wasusie waone kama uchaguzi hautafanyika, labda wakaweke zuio mahakamani
 
Mariah ni mjumbe wa kamati kuu?
IMG-20250127-WA0002.jpg
 
No reform no election ni jambo la uhakika kwa sababu CHADEMA wamelielewa somo kuwa wanaoenda kwenye uchaguzi wengi ni machawa wanaokwenda kulinda maslahi yao binafsi.
Kwa upande mwingine wanaojielewa na wanaozijua hila za CCM kung'ang'ania madaraka huwa hawaendi kupiga kura na wala hawahongeki.
Mwaka huu utathibitisha hilo.
 
Naiona CDM ikichechemea baada ya kukosa uwakilishi popote. Ccm na vyama vingine wataendelea na uchaguzi 2025. Nendeni kwa akili nyingi
 
Hiki chama mwisho wa kupiga makelele ni mwaka huu 2025. Kuanzia mwakani ni boxing
 
Kwani Katiba mnakataza Maria kuwa mfuasi/shabiki/mpenzi wa chama cha siasa akipendacho?
 
Back
Top Bottom