Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

No reform, no election is a bit tricky. Chadema wapambane kuhakikisha kura zinahesabiwa na kutangazwa kwenye vituo, mchakato wote uwe wa haki, huru na wazi. Mawakala wa vyama vyote wakiangalia na kudhibiti uhuni wowote utakatokea. Muhimu serikali ikubali mchakato wote urekodiwe kuhakikisha hakuna wizi.

Chadema ina uwezo wa kushinda viti kuanzia 40 na asilimia zaidi ya 30% ya kura uchaguzi ukiwa huru na haki. Itawasaidia huko mbeleni kupata ruzuku kubwa kuendesha chama na kuwafikia Watanzania wengi.

Wasiposhiriki watakuwa na sauti ndogo, irrelevant kwa miaka mitano ijayo.
 
View attachment 3215101
Nimeona huu ujumbe wa Maria Sarungi anakemea wanaojiunga Chadema. Ana nafasi gani huyu mpaka anatoa msimamo mkali kama huu kwenye mambo ya chama?

Nakumbuka Mbowe alikuwa anasema anataka kukiokoa chama kisichukuliwe na wanaharakati kwa kuwa hajui dhamira yao nini. Inawezekana kuna mambo yapo nyuma hatuyaelewi?
Maria ni chawa kama chawa wengine ila sponsa ni mzungu.
 
Chadema hawana uwezo wa kuachana na uchaguzi huu wa 2025
 
Nikiona tangazo rasmi kuwa Chadema haitoshiriki uchaguzi ndo nitaamini kuwa ni msimamo wa chama. Sasa hivi ni bla bla tu.
 
Si kweli haya ni mambo sarungi anamuamulia lissu na chadema muda si mrefu mtakubali atakapoanza fukuza kwa niaba na matakwa ya mariah nyumba ndogo!
Lissu sio kama mbowe, kufukuza watu kisa katofautiana naye msimamo
 
Kumbe nyuma ya pazia ni mke mdogo wa mwenyekiti hata pesa ya fomu iltoka huko....yeye ni nani mpaka apangie watu!.....
Kwani wewe ulivyoileta hapa ni msemaj wa CHADEMA?
Maria anasaidia tu kusambaza msimamo wa Kamati Kuu just kama wewe ulivyoileta hapa.
 
View attachment 3215101
Nimeona huu ujumbe wa Maria Sarungi anakemea wanaojiunga Chadema. Ana nafasi gani huyu mpaka anatoa msimamo mkali kama huu kwenye mambo ya chama?

Nakumbuka Mbowe alikuwa anasema anataka kukiokoa chama kisichukuliwe na wanaharakati kwa kuwa hajui dhamira yao nini. Inawezekana kuna mambo yapo nyuma hatuyaelewi?
..hayo ni maoni yake, sioni shida yoyote hapo, mtoa mada una mawazo ya kidikteta
 
Lissu amekula hela zake, sasa ni wakati wa kulipa
 
Back
Top Bottom