Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

Maria alikuwa Kamapeni meneja wake upande wa X na Diaspora

Yeye ndio ana set agenda zote za siasa za X kwa sasa.... wale jamaa wanafanya kaz ya ku like na ku follow tu..

Akiona umekaa sawa anakuita Nairobi kwa training...

Ukiwa na mawazo tofaut na yeye ana ku mute na kukublock...

Ana lawyers wake uchwara hapo wao ni kubeba kila kitu na ku influence wengine wafuate....

TL akikaidi maelekezo yake anageukwa😀😀😀

Very unhappy old woman
Duh sio mchezo, ngoja tuone mwisho wao.
 
Nashauri badala ya kumbeza, yeye na wenzie wapewe nafasi ya kuthibitisha na kuiishi hiyo slogan yao. Labda italeta mafanikio. Kwa vile amesema sio lazima iwe kesho wapewe muda.

Amandla...
 
Back
Top Bottom