Hata mimi naweza ku post maneno hayo. Huo ni msimamo wa kamati kuu ya chadema na sasa umeudhinishwa pia na mkutano mkuu wa Chadema.Kumbe nyuma ya pazia ni mke mdogo wa mwenyekiti hata pesa ya fomu iltoka huko....yeye ni nani mpaka apangie watu!.....
Si kweli haya ni mambo sarungi anamuamulia lissu na chadema muda si mrefu mtakubali atakapoanza fukuza kwa niaba na matakwa ya mariah nyumba ndogo!Hata mimi naweza ku post maneno hayo. Huo ni msimamo wa kamati kuu ya chadema na sasa umeudhinishwa pia na mkutano mkuu wa Chadema.
Umemshtukia anajipendekeza!Wewe kafie mbele,timu lissu hawakutambui,eti msimamo wa chama!!
Lissu ile ni nyumba yake ndogo hata ile pesa aliyotoa sativa ilitolewa na mariah kwa kuwaogopa ntobi nyerere na maranja akajificha kwenye kivuli cha sativa!Dada Maria kasisistiza tu.
Utaelewa muda si mrefu maagizo toka nairobi yakiongoza chadema!Acha ujinga, Maria amerudia msimamo wa chama kama unavyofanya wewe humu JF. Kwani maana ya No reform no election ni nini?
Unachekesha kweli chadema kila mmoja ana hawara wa kando wale viti maalumu hawakuwa na wanaume zao ila wote ni chakula ya viongozi!Umeharibu kusema ni mke mdogo, hoja yako ni uwongo, mume wa maria anafahamika
Siwezi kutabiri yatakayokuja lakini kwenye hilo unamsingizia, yeye ametoa habari ambayo hata humu ilitolewa. No reform no election kama unafikiria sawasawa inamaanisha kwa sasa mtu asijihangaishe kufikiria kugombeaUtaelewa muda si mrefu maagizo toka nairobi yakiongoza chadema!
Kuongea tu hata mimi naweza kuzusha,kama una ushahidi wa ulitoyaongea weka hapa.Lissu ile ni nyumba yake ndogo hata ile pesa aliyotoa sativa ilitolewa na mariah kwa kuwaogopa ntobi nyerere na maranja akajificha kwenye kivuli cha sativa!
Jamaa mzushi sanaHuo alioeleza hapo ni msimamo cha chama sijaanza kuusikia leo au kuna jipya aliloliongezea umesahau kuliweka?
Subiri picha ya ushahidi uwekewe!Kuongea tu hata mimi naweza kuzusha,kama una ushahidi wa ulitoyaongea weka hapa.
Mariah ashachukua chama chake wewe tulia mzee huu ni wakati wake kuongoza chadema akiwa mafichoni!Siwezi kutabiri yatakayokuja lakini kwenye hilo unamsingizia, yeye ametoa habari ambayo hata humu ilitolewa. No reform no election kama unafikiria sawasawa inamaanisha kwa sasa mtu asijihangaishe kufikiria kugombea
Anajaribu kudandia gari Kwa mbele ili timu lissu wamkumbukeUmemshtukia anajipendekeza!
Huyo jamaa hajitambui.Umeharibu kusema ni mke mdogo, hoja yako ni uwongo, mume wa maria anafahamika
uwongo ni mbegu ya shetani, yeye ni baba wa uongo.Eti atwaa madaraka...Dah JF imejaa viwanda vya uzushi
Maria Salungi na genge lake la wanasheria wanaenda kuiuwa CHADEMAView attachment 3215101
Nimeona huu ujumbe wa Maria Sarungi anakemea wanaojiunga Chadema. Ana nafasi gani huyu mpaka anatoa msimamo mkali kama huu kwenye mambo ya chama?
Nakumbuka Mbowe alikuwa anasema anataka kukiokoa chama kisichukuliwe na wanaharakati kwa kuwa hajui dhamira yao nini. Inawezekana kuna mambo yapo nyuma hatuyaelewi?