Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

Acha kupanic ww Toa K upewe hela. ..

One love

Hapana mm nikitoa K ni genye tu sio nna shida ya pesa. Kwetu hatuna njaa, nafanya kazi na biashara zangu. Ukinihonga ni kama unamwaga maji baharini hivi. Baba yangu kila nikimtumia msg ya asubuhi njema anantumia vocha. Ili kuniepusha na mafisi kama wewe
 

Attachments

  • InShot_20200813_130817044.jpg
    499.6 KB · Views: 4
Basi uje kunikumbuka na mimi kunitunuku japo siku moja tu,Sawa mrembo?
 
Mwanamke akiniomba hela namdharau!
Af wenyewe wanachukuliaga simple tu utaskia dume ukwap?
Mm-nipo na wana tunapooza makoo apa
Yy_bas ntigopesa nami ninywe wine
[emoji28][emoji28][emoji28]nyambaaaf!
 
Hapa utavuna like zao za kutosha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji6]
 
Halafu mnakuja kulia humu ooh wazee wanachukukua watoto wadogo. Elfu 10!!! Hadi umeweka bundle kufungua uzi. Shit

Ulitakiwa umpe 50K na kesho yake unamuahirishia safari, unamwambia umeondoka kibiashara .

After a week Unaanza kukamua maziwa.
Angekujaje?
Ajilipie nauli , sijui bodaboda
Vocha kukutaarifu
Bra na chupi mpya ya show

Tuachieni tu. Nendeni kwa ma sugar mammy mkalelewe
 
Mimi tu ndio niliyemuona mtoa mada ni mzembe au wote mume msapoti.
 
[emoji23][emoji23]
 
Tatizo lako ni kushindwa kumsaidia wakati ana shida na kutaka kumsaidia siku akija kukusaidia wewe!!

Sent from my MAR-LX1M using JamiiForums mobile app
 
Uzi tayari.
[emoji57] kuna wanaume wako cheap!!!! Eti hadi elfu 70..........
Inaonekana ni hela ulibakiza ya kununua madaftari
[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210] povu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angeenda angeambulia 5000 ya nauli na mitiii
 

Unapesa halafu unabembeleza?!! Duuh haya maajabu huyu ni nzi achana nae na kama unashida nae jiongeze bembeleza, wanawake pia wanapenda uharaka wa kutimiziwa ndio unapata class hasa makupe vile, elfu10 then ukasita?, U lost class men!! Security ilipotea na kama hauna mvuto au u handsome ndio Rudi ujikombe upya uende na elfu70 yako ukapigie shoo uko uko mbali umtoe posho walau35 nusu balance matumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…