Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Ukiona una gharamika na bado una baniwa elewa kwamba yupo anaye bembelezewa kupewa bure. Mwanaume epuka kutumiwaNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamroge najua ni hard way but the only way
Alikuwa anaigiza, maigizo yameisha amerudi kwenye uhalisia.Sawa sasa kwanini anilie vyangu kipindi chote hicho na alikuwa anaonesha kuwa karibu na mimi hadi geto anakuja tunapika tunakula na mambo mengi tu tumefanya nae
Usiogope mkuu, mpe tu koneksheni, wengine tusharogwa, mpaka uchawi mpya hauna pakukaa 😂🤣Alooh kiongozi makaveli10 unaniruhusu nimpe konekshen huyu bibie asije tuharibia kiumeni
Yewoooomi🙆♂️Usiogope mkuu, mpe tu koneksheni, wengine tusharogwa, mpaka uchawi mpya hauna pakukaa 😂🤣
Jama jama jama...🙄😲😳Ili utulie tuliiiiii.
Hakikisha umepata mganga kweli😂Yewoooomi🙆♂️
Wewe huwezi kuwa mtaalam yani ke inakutaka unakataaHuyo mtaalamu mwenyewe unaemsaka ndio mimi sasa 😂🤣.
We njoo tu na kuki,mbuzi, ng'ombe ama ngamia.. inategemea na unataka tumfanye kitu gani,
Kusom amemaliza tafuta maisha Kwanza, SASA utailisha nini hiyo K. Hujui unataka matunzo?Nimevumilia kusoma kwangu kote nishamaliza masomo nipo na mishe zangu kama mwanaume izo mishe za midinyo hazikwepeki mkuu
Sijamkatalia, anataka tiba ya kunifanya nitulie, nisiwe na mwingine zaidi yake..Mkuu wewe unatongozwa hutaki kumkubalia bibie wewe kweli juju linakuhusu Atoto nitakupa mrejesho soon uipige hii punda mijeredi
Hii habari sijui anae anaempenda huwa siielwagi kabisa hata mwenyewe huwa namuuliza lakini hajawahi niambia huo upuuzi na siku akiniambia ndio siku ataona dunia chunguUkiona una gharamika na bado una baniwa elewa kwamba yupo anaye bembelezewa kupewa bure. Mwanaume epuka kutumiwa
Nani kasema sina maisha, kiufupi hata yeye anajua mimi ni fighter ila anatumia ui introvert wangu kunitapeli nibakiwa na option moja tu sasa hivi kama mipesa nishamwagia Sana tuKusom amemaliza tafuta maisha Kwanza, SASA utailisha nini hiyo K. Hujui unataka matunzo?