Daah mitani tenaNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Mpenzi yafutweππHaki ya nani hii siyo nzuri kabisa, shemeji Joanah unapitaje huku bila kutuita? π
Huyu kijana anahitaji maombi ya ziada π
Wajumbe kuna mtu anataka kuroga, kijana anajitoa ila binti hataki kutoa...
Intelligent businessman Selikavu dosho12 Edo kissy
siwezi kukazania kitu kisicho changu, aachwe uzwazwaHaki ya nani hii siyo nzuri kabisa, shemeji Joanah unapitaje huku bila kutuita? π
Huyu kijana anahitaji maombi ya ziada π
Wajumbe kuna mtu anataka kuroga, kijana anajitoa ila binti hataki kutoa...
Intelligent businessman Selikavu dosho12 Edo kissy
Ni utapeli.Mpenzi yafutwe
Kinachomuuma ni kwamba amemlia pesa yake ya boom πsiwezi kukazania kitu kisicho changu, aachwe uzwazwa
Kabisaa mkuuNi utapeli.
Njia bado zipo mbili mkuu usikate tamaa, Kumloga au Kumbaka.
Hii hatua nishawahi fika nae wakati tukiwa chuo nilipanga off campus alikuwa anakuja tunapika tunakula na story mbalimbali siku moja nilitaka kumla kimasihara alipiga kelele na kunidhalilisha getoni pale sitaweza kuisahau hii sikuNdugu yangu epuka kuwekeza hisia za mapenzi kwenye urafiki, wanawake ni mabingwa wa kuzuga na urafiki uku wanakupiga viela mdogo mdogo.
Mwanamke akiwa rafiki usimtongoze hatokubali, we tengeneza mazingira mle kimasihara, lakini ukileta hatua za mapenzi hawezi kukuelewa.
Mbona umeongea kwa hisia hivy au ndo weweπMh, sababu ya mapenzi?
Hapana bro,ruhusu moyo ukate tamaa...usijekosea masharti huko ukampa uchizi mtoto wa watu
Hatuwezi pata kilakitu maishani tafadhali
Hii hatua nishawahi fika nae wakati tukiwa chuo nilipanga off campus alikuwa anakuja tunapika tunakula na story mbalimbali siku moja nilitaka kumla kimasihara alipiga kelele na kunidhalilisha getoni pale sitaweza kuisahau hii
Nimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the onl
Bro hyu demu achananaye Wala usimroge mpotezee ingawa maumivu yake makali ila jitahid maana demu akishajua unampenda ndy Kama hivo anachezea hisia zako na akijua uchomoiNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard
ππππππBasi uyo so rafiki wala mpenzi uyo ni mchawi ulitakiwa umwache haraka sana, afu unngeenda kumchukua rafiki ake, uo wivu wake angeleta koma mwenyeweππππHii hatua nishawahi fika nae wakati tukiwa chuo nilipanga off campus alikuwa anakuja tunapika tunakula na story mbalimbali siku moja nilitaka kumla kimasihara alipiga kelele na kunidhalilisha getoni pale sitaweza kuisahau hii siku
Mwanzo nilikuwa nadhani labda ni maadili ndio maana nikawa naenda nae mdogo mdogo nimekuja kujua yupo serious tulipo maliza yani hata kupokea au kujibu meseji ni shidaMwanamke kama hataki basi muache aende zake.m, USIMROGEE..kulazimisha penzi wakati hakutaki ni sawaaa na kulazimisha kumeza bogaa babu utakunya tikiti..?ππ
ZOBA HUYOKinachomuuma ni kwamba amemlia pesa yake ya boom π
UKIKATALIWA HUWENDA MUNGU ANA KUEPUSHA NA MADHILA WE JAMAA TAFUTA MWINGINENimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa
Wakati tupo o-level nilijua kwakuwa bado tupo na safari ya masomo lakini tulivyokutana chuo mambo yakawa yale yale. Boom langu kala la kutosha na mambo mengi nimemfanyia lakini malipo yake ni kunikataa hii sitakubali wala kukata tamaa
Sasa mbinu iliyobaki ni kwenda kwa mtaalam nikamloge najua ni hard way but the only way
Unajua mganga atakuambia ana dawa ambayo ni lazima akuingizie kwa kidole njia ya haja kubwa,ndipo huyo dada atalogekaNimesoma nae kuanzia form1 hadi form4 pia tukakutana chuo, kipindi chote hicho nilikuwa namtongoza kwa njia mbalimbali kama kumpa zawadi na hongo mbalimbali cha ajabu nilipo muambia ukweli kuwa namtaka akanikataa