Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Hilo liroboti halina hisia mkuu sio sahihi kufuata ushauri kwa dude lisio na hisia

Unajua kuinvest katika hisia hasa kwa mtu nilieweka malengo kwake na mambo zangu nyingi kuhusu future nilikuwa namuambia na ananiunga mkono kumbe ananilaghai hii haikubaliki
 
Duh unataka awee zuzu mkuu acha ujinga. Mwache endelea kumpenda sio vibaya kumpenda hata kama hakupi kitu.
Ukifanya ulozi basi ndo mwazo wwe kuhalibikiwa kimaisha
 
Unataka kupiga na kuiacha au kubaki nayo ?
Hadi wazazi wake wananijua halafu mimi sio muhuni kikweli nilijiwekeza tuje tuishi pamoja lakini kama ananikataa hao wazazi watasaidia nini?
 
Wanaoendaga huko hawatangazi, na wanaotangaza huwa hawaendi.
 
Nayaomba majina yake ma3 na namba yake ya simu nikusaidie...... Mm mtaalamu au njoo pm nikuelekez .....alafu hela ya malipo katoe msikitini au saidia masikini yoyote yule ...ila iwe kuanzia 20,000/= isiwe chin ya hapo na Kama utaongez ni Wew
Huku kwetu waganga kibao tu nilikuwa sina hilo wazo ningeshampiga kipapai zamani tu
 
Jihadhari usije kuharibu maisha yako kwa sababu ya demu.
 
Mwanawake wa hivyo hadi akutane na jangili la mapenzi limzalishe na kumtelekeza atakuja kukutafuta
 
Mh, sababu ya mapenzi?
Hapana bro,ruhusu moyo ukate tamaa...usijekosea masharti huko ukampa uchizi mtoto wa watu
Hatuwezi pata kilakitu maishani tafadhali
Huyo dogo ni mwanafunzi wako kabsaa
Sio bro
 
Umemaliza kila kitu ndugu
 
Achana naye kama hataki. Ila kama kuna ulazima piga juju tu maana sasa hakuna namna. Tena huyo mpenda vya kupewa ni rahisi sana kumloga.
Nashukuru kwa ushauri mkuu juju ndio njia pekee nilobakiwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…