Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ikitokea mtu anataka figo, mshauri mdogo wako akatoe zote mbiliSijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
Sidhani kama simu hizo ndio zilileta shida, make wenye uandishi huu ni hawa vijana wa elf 2000 waliozaliwa kwenye smartphone, hizo button tulitumia wahenga ambao wala hatuandiki huo upuuzi.Utoto tu. Nadhani huu uandishi ulichochewa na hizi simu za button keypad miaka ya nyuma kidogo.
Unakuta herufi tatu au nne zipo kwenye button moja kwenye keypad ya simu. Sasa ile ku type moja usubiri sekunde mbili utafute nyingine ndio watu wakabuni njia rahisi ya kutype haraka kwa ku skip na ku substitute baadhi ya herufi katika maneno ndio hiyo sasa ime evolve hivyo hivyo mpaka enzi hizi za smartphone zenye full keyboard.
View attachment 3010277
Ni hali ya kawaida sana kwa umri wake.Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
Trust me hicho ndio chanzo. Ila sasa mara nyingi mtu anapojitambua anaacha ndio maana utakuta wanaoandika hivyo ni hao watoto bado wana utoto.Sidhani kama simu hizo ndio zilileta shida, make wenye uandishi huu ni hawa vijana wa elf 2000 waliozaliwa kwenye smartphone, hizo button tulitumia wahenga ambao wala hatuandiki huo upuuzi.
Hapa unawasingizia tu Waalimu mkuu,ni akili za kibwege tu za vitoto vya saizi........Hatari sana.
Non sense teachers.
Na huyo dogo mwakani Form 5 ataingia
Daaah sijawahi kuandika hata kwa bahati mbaya, nachukia sana huo uandishi....Trust me hicho ndio chanzo. Ila sasa mara nyingi mtu anapojitambua anaacha ndio maana utakuta wanaoandika hivyo ni hao watoto bado wana utoto.
Naweza kukiri hata mimi zamani miaka ya 2000s nikiwa bado sekondari nilikuwa naandika hivyo.
hata hao wa A for appleZa kayumba
sanaaaaa miaka ya 2011 usipoandika hivyo ulikuwa umepitwa na wakatiWewe ulikuwa unaandika hivyo?
Generation Z, ni, sawa tu,Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
We mwenyewe walewaleSijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
"Oneni" ndio nini mkuu?Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
AiseeSijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
View attachment 3009869
Kizazi cha dot com sio poaa lo! Sasa kuna watu wazima na zivu nyeupe kabisa unakuta wanaandika hivo tena anakua siriazi kabisa.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sana.
Non sense teachers.
Na huyo dogo mwakani Form 5 ataingia
Acha uchoyo na ubakhiri. KhaaahMimi wajomba zangu wakituma sms za asa, xx xna, k siwajibu.
Kama walikusudia waniombe pesa itakula kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeshachoka kuamua ugomvi JF juzi kuna mmoja kamtia mwenzake vidole sehemu mbaya sana we imagine anamuingiza mwenzake kidole jichoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me huyu kesha maliza form 4 ni vile ni mdogo Wangu, lakini MTU mwenye uandishi wa Aina hi huwa simzingatii
Nafikiri kuna tatizo kubwa
View attachment 3009880