Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

Pole sana Mkuu, wakati anakufuata kwenye pembe yako kitandani hakuwahi kukudindishia kweli??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Aisee namna nzuri ya kumsaidia mtu ni kumnunulia godoro, net na kumlipia kodi ya miezi 3 full stop, wabongo hatuna ustaarabu na kujisahau kwingi, usipokaa sawa hapo atamaliza mwaka na hana shughuli ya kufanya.
Na kama una mke au watoto hapo nyumbani atawatafuna
 
Endelea kumnunulia pombe kali zaidi na bange ila usishangae siku akiwatafuna wanao na mkeo
 
Endelea kumnunulia pombe kali zaidi na bange ila usishangae siku akiwatafuna wanao na mkeo
Wanaishi wao wawili tyuuh hapo, ndo maana wanalala Pa1, hujui kubebana wee? Mtindo pendwa wa wanachuo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kuna jamaa yangu alikuja kukaa gheto akisubiri ajira enzi hizo mimi niko chuo( nilikuwa nakaa off-campus) ila naye alimalizia chuo kilekile, duhh! Kero mzee unatoka chuo mchana au jioni umechoka na njaa unafika gheto unakuta mlango umefungwa kaleta demu! Unavumilia ili kupisha lipite.

Taulo langu jamaa unakuta kagonga mwanamke na kujifutia[emoji2961], nikamuachia taulo jamaa wala hakuwa na tatizo wala kustuka.

Jamaa akaagiza demu wake waliemaliza naye( nikamkuta gheto kaja bila taarifa) nikajipiga "exile" Three days nalala kwa mshikaji wangu.

The third day i told the man a bitter truth that I was so annoyed with his conduct!, nikaagiza demu wangu nikampiga exile akawa anaishi kama Kaini

Kumbe alikuwa anawaambia jamaa zake gheto ni lake.

Nilichukia sana na heshima niliyokuwa nayo juu yake ilishuka kabisa. Baadae alikuja kuajiriwa ualimu nikashukuru.

Yaani unalala kwa unyenyekevu wakati upo kwako[emoji23], halafu mkulungwa anakoroma kalala chali kabisa.
 
siku akilewa chakali mpasulie yai kwa nyuma atapata akili ya kilichomleta mjini
 
Nimesoma comments zoote,

Guys thank you kwa kuniongezea siku za kuishi, aisee nimecheka sana, ooh God Watz tuna maneno sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi we ni mtu au malaika? Huu ni uvumilivu ambao siwezi kuwa nao hadi mwisho wa dahari.
 
Mnunulia supu ya mawe ile OG ndio ataipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…