Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kuna haja ya jeshi letu kuunda kikosi cha marksman Mahiri na kuwamotisha!
Watu wanasikitika sana Hamza kuondoka na askari wawili pekeeHuwezi kunyanyua mkono juu una silaha mkono mwingine. Alikuwa anataka wafariki askari wengi zaidi?
Kama alitaka yaishe angeweka silaha chini na kunyanyua mikoni yote juu na kutoka eneo iliyopo silaha hata mita kadhaa ambazo kweli kila mtu angeona jamaa hana nia tena na mapambano.
Kwavile waliofariki siyo ndugu zao au? Kuna siku tukio la hivi litatokea na kugusa mioyo yao ndipo watang'amua umuhimu wa hao askari wanaowaona ni wajinga.Watu wanasikitika sana Hamza kuondoka na askari wawili pekee
Kama hutumii akili hasira hazitokosekana.Jamaa unataka kunitia HASIRA sasa.
Mtu kaua askari wawili na anapambana na wengine unataka apewe wito wa kuweka silaha chini au kulala kifudifudi?
Kama alitaka kujisalimisha angeweka silaha chini kusonga mbele akiwa kaweka mikono juu.
Serikali sisitizeni matumizi na kilimo cha mbogamboga wananchi wenu wanawehuka huku.
UNAJUA MAANA YA HILO NENO?? AU UMEANDIKA BAADA YA KUKUJIA KICHWANI???🤣🤣🤣🤣Wewe siyo mzalendo!
Askari wana mafunzo, sasa kama nao wanwaza na kutena kama Watu baki basi hakuna haja ya kuwa na Jeshi la Polisi.Haya mambo mnayasema kwa sababu hamuijui Bunduki. Haiwezekani na haitatokea mtu kujua kwamba anaepambana nae ameishiwa Risasi. Lakini pia kumbuka asui yule alikuwa akiua askari haiwezeka umuamini kuwa ameishiwa risasi na amesalenda
Kumuua halikuwa suluhisho bali askari walitakiwa wamuache na aendelee kuwauwa hadi waishe wote.Kama hutumii akili hasira hazitokosekana.
Hata kama alishaua Kijiji chote unadhani kumuua ndio suluhisho?
Mtu akishanyoosha mikono juu ni juu yako wewe kumuamrisha unavyotaka, akikataa kutii amri ndio hatu nyingine zinaendelea.
Huena wewe ni Askari na napoteza muda kubisha nawe...Ila nikwambie tu kuna manufaa mengi ya kutanguliza weledi dhidi ya mihemuko..
Nani alikuambia ukipigwa risasi miguuni hufi?Huyu alipaswa akamatwe mzima. Angepigwa risasi miguuni au sehemu ambayo isingemlazimisha kufa.
Kwani silaha alizotumia si ni SMG, ambazo aliwanyang'anya hao maaskari aliowaua?inshu sio kuwa Tz, ni nchi ya namna gani ndio kuhalalisha mapungufu yaliyopo kwenye vyombo vya ulinzi?siku zote hapa huwa tunalindwa zaidi na MUNGU, tu lakini kila sekta ni hoi tu mala ngapi majanga kila yanapotokea ndipo tunashituka?utaona kuanzia leo kutakuwa na mabadiriko makubwa kwenye vibanda vya kumpuzikia askari,ki utendaji lakini subili baada ya mwezi, kama kawaida!na ndio maana linapotokea tukio kama lile huwa ni kupagawa, , pale na kituo cha salenda bridge kuna umbali gani?lakini ulizia muda waliotumia kufika pale!?na bahati nzuri jamaa hakuwa na shida na raia wa kawaida, ingekuwa maafa.Sikulaumu hayo ni mawazo yako ila tambua bunduki km AK47 au SMG hawashiki askari wa kawaida angalia yule jamaa alishika silaha ya aina gani na kawaida maaskari hutumia silaha ya aina gani.
Halafu angalia Tz ni nchi ya aina gani.
Hii nchi ilizoea amani na tulikaa muda mrefu hatuna bugudha leo hii mtu km yule atokee unadhani inakuaje?
Tulishazoea amani na utulivu.
Si inasemekana ni kada wa chama chao😳Huyu alipaswa akamatwe mzima. Angepigwa risasi miguuni au sehemu ambayo isingemlazimisha kufa. Then wange mchukua kumtibu na kuja mhoji awaeleze kisa na mkasa.