Huyu mke nafaa kuoa kweli?

Kichwa cha habari kimenichanganya..ila kuwa na wanaume 9 ndani ya ndoa sijui ndo long term relationship napo kipengele.

Kila mtu ashinde mechi zake
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€huyo mwanamke nae falaaa.. huwezi nitajia wanaume 9 kizembee tuuu
 
Kupigiwa mke hyo ni pie , kama unataka wa kwako kamuumbe mwenyewe , Yani mke kuliwa nje hyo ni lazima labda awe shapeless ,Ila hata yeye wahuni wanakula tuuu
 
AlikuwezaπŸ˜‚
 
..nitafute hata mgumba ataependa watoto wangu nifunge nae ndoa tu...
Mimi ushauri wangu utajikita kwenye hii sentensi moja tuu..

HAKUNA MWANAMKE ATAEPENDA WATOTO WAKO ZAIDI YA MAMA YAO!

Kama unataka watoto wako wateseke mpaka ushangae, waletee mama mwingine.

Ni hayo tu.
 
Ingekuwa ni mimi hata simuachi hata kidogo na mchukulia simple na maisha yanaenda.
 
Elewa maada mezani.
Hao wanaume ametembea nao akiwa tayari anaishi na mshikaji.

Na sio kabla.

Yani tuseme wewe uishi na mkeo miaka 10, halafu uje ugundue ndani ya hiyo miaka mmeishi wote, ameshagongwa na wanaume si chini ya sita.
 
Elewa maada mezani.
Hao wanaume ametembea nao akiwa tayari anaishi na mshikaji.

Na sio kabla.

Yani tuseme wewe uishi na mkeo miaka 10, halafu uje ugundue ndani ya hiyo miaka mmeishi wote, ameshagongwa na wanaume si chini ya sita.
wameishi miaka 9 ila miaka mi3 nyuma mwanamke kaliwaaa... story alipewa mwaka juzi jamaa analeta mashta leo hapo ashamzalisha watoto watatu. bado haina maana kuleta mashtaka leo
 
Wewe ulimwambia uliyowahi tembea nao kipindi mnaishi pamoja?
 
Achana nae,maana unaaibika mbele za watu mtaani na wanakuona wewe siyo Mwanaume ila ni mtoto wa kiume
 
We jamaa, hamna mtu apo karibu akupige kibao ntakuja kumlipa!
 
Vipi bado uko nae mdigo wako??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Au ndio bwana alitoa na bwana ametwaa?
 
Nimecheka kama kichaa

Alikuwepo jamaa alikuwa akichepuka anarekodi kwa siri anamletea demu wake
Bwana siku moja yule demu akaenda kuchakatwa na yeye akarekodi kumlingishia bwanaake

Kilichotokea tuu mimi mpaka leo ni msimamizi wa mirathi aseee
Huu mchezo hauhitaji hasira. Mwanaume kugongewa ni zaidi ya death sentence
 
Vipi bado uko nae mdigo wako??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Au ndio bwana alitoa na bwana ametwaa?
Ah aliolewa bwana...maana aliona huyu mzabzab mwenyewe haeleweki.
Ila dah she knows how to satisfy a man acha kabisa.
 
Ah aliolewa bwana...maana aliona huyu mzabzab mwenyewe haeleweki.
Ila dah she knows how to satisfy a man acha kabisa.
Hahahah kwahio kale kazoezi ka kuwasha microwave kanaendelea vyema bila shaka.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwahiyo nawe ni mume wa mtu!! Hebu usituchoshe.
 
Sasa unataka ushauri gani?

Umekaa na mtu miaka 11, ushamchakaza vya kila namna alafu umuache unamuachia nani??

Kaa na mkeo aisee,, samehe na mkanye.. malizieni uzee wenu eboo
Naongezea, eboooo!
 
Jamaa ana makosa. Huyo mwanamke hana makosa kwasababu
Kabla ya kuingia kwenye ndoa unajikuta umetembea na watu bila wewe kufahamu kwasababu ya kumpata mtu sahihi.
Iko hivi hata sisi kwa wanaume, umpenda Anna. Umemtongoza amekuba ila unakuja kugundua ana tabia mbaya, unampiga chini unatafuta mwingine kwahiyo mpk kumpata mtu sahihi unajikuta ushatembea na wanawake 4.
Huyu nilinaye hapo nyuma nishatembea na wanawake 5 huyu wa 6 ndiyo nimempata.
Huyu mtoa uzi alichokosea ni kufukua makaburi.
Mwanamke angetembea na hao wanaume kipindi yupo na jamaa ingekuwa sahihi. Mm ndiyo maana huwa siulizi kuhusu maisha yake ya nyuma ya mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…