Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

Mmebaki wachache sana, unajitambua mno hongera
 
Mimi mumewe tushayajenga na wife nimenunua kadumu ka mafuta ya Nazi Lita 5....karibu dar mzee uwahi basi
 
Mimi mumewe tushayajenga na wife nimenunua kadumu ka mafuta ya Nazi Lita 5....karibu dar mzee uwahi basi
[emoji23][emoji23][emoji23]akitoka hapo akasimulie malegend wenzie wenye michezo ya kishenzi km hiyo
 
Hii thread itajaa comments za aina 3
1: wanaume waliovurugwa na maneno ya jamaa (kugongewa) watamwaga shombo vibaya sana

2: wanawake watakatifu kuliko utakatifu wenyewe, kumshangaa huyu kuchepuka

3: wakataa ndoa

Nipo chini ya mti nakula upepo
Angalia usiliwe upepo
 
Wewe dada utaandikwa mbinguni walahi...........na ujitunze hivo hivo Kwa heshima ya mumeo na wazazi wako wote
 
Wee Ni mke halisi siyo hao mbunye nje nje very good tunza k ya mumeo had mwisho

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna rfk angu aliandika msg na mume wake mchepuko kuwa najuwa unako ishi had nyumba na gari yako wew endelea kumla huyo mwanamke jamaa hahapatikan Hadi Leo na yule jamaa akamuoneshea mchepuko msg mchepuko anashanga kujuwa kuwa jamaa anafahamu nyendo zake mbaya Zaid jamaaa hajamuuliza mke lolote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nafanya shughuli zangu na watu wenye pesa chafu nakiri kumzidi mume wangu ila siwezi kuchosha viungo vyangu kisa pesa ya mwanaume, kwanza kwann nikubali lijitu tu linaniingilia sina hisia nalo utafikiri nasokomezwa kijiti huko?
Nipe namba zako nikujaribu, tuone kama ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…