Huyu mke wa mtu weekend hii lazima nimtafune

Usiongee hayo maneno endelea kumuomba Mungu azidi kukupigania na kuendelea kushinda hayo majaribu. Bado hujakamatika wewe.
Kukamatika ni ujinga tu hakuna mtu anafanya hayo bahati mbaya hasa mwanamke aliyeamua kuolewa kabisa! Lazima awe ameweka akili yake ktk kujiheshimu lakini pia navyojua mwanamke mara nyingi akishapenda mmoja hisia zooote ziko kwa huyo huyo sasa hao wengine hisia zinatoka wapi? Au kubakwa tu
 
Bwana wake alishapata habari, na keshamtegeshea mke wake. Ukienda tu ni mwendo wa kushikana kama mbwa.
 

Ni utoto na udhaifu wa hali ya juu sana, huyu ana matatizo ya kijinsia ndio maana anatafuta njia ya kujustfy kwa jamii kua anaweza na hana tatizo ila kiuhalisia sio mzima. Mwanaume kamili hawezi kujisifia kutumia udhaifu wa mwanamke hadi kuuleta huku mtandaoni isitoshe ni mke wa mtu. Kwa kifupi huyu sio mwenzetu.
 
Nasubiria mrejesho wako weekend....ila nakuhakikishia hauto fanikiwaa....

Sikutishi ila Swala lako 😎 😎😎😎 nimelitolea report sehemu husika itakua funzo pia Kwa wengine maana ma bar maid wapo wengi

Naku hakikishia hili swala lipo sehemu husika na linafanyiwa kazi ili iwe funzo Kwa vidume wakware waharibifu wa wake za watu...😎😎😎😎
 
Daaah kwa ndoa za siku hizi zilivyo pasua kichwa, hakika ndugu yetu ni mmoja wa waliobahatika kukupata wewe, unajielewa sana kongole kwako.

Mkuu hauna hata mdogo wako alie single, ha ha ha ha!!
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Anafanya zake uasherati
 
Tatizo sio kuchakata mke wa mtu.. tatizo ni kuvujisha chats zenu hapa mtandaoni. Kimsingi mleta mada unajiona mjanja ila ni mpuuzi na mshamba mno. What if kwa bahati mbaya mume akaona hizo msg na bahati mbaya zaidi akauona na huu uzi? Vijana tumieni smartphone zenu kiakili.
 
Hii thread itajaa comments za aina 3
1: wanaume waliovurugwa na maneno ya jamaa (kugongewa) watamwaga shombo vibaya sana

2: wanawake watakatifu kuliko utakatifu wenyewe, kumshangaa huyu kuchepuka

3: wakataa ndoa

Nipo chini ya mti nakula upepo
Wewe uko upande gani mkuu?
 
Mkuu dunia duara usisahau mafuta,aliwazalo mjinga......!
 
Kwa Khali vijana wa kataa ndoa hakuna budi kuongezeka Kwa wingi.Chondechonde maamuzi unayoenda kufanya jaribu kufikiri mara mbili kama ingekuwa ni wewe mwenye mke.Ungefurahi kukuta sms za ex wa mke wako za aina hii

Pia inaonyesha una wivu kama mama wa kambo.Lakini umefumbia macho Kwa sababu sio upande wako.kama ulikuwa na wivu na demu ambaye huna malengo naye,vipi yeye aliyemuoa atakuwa na wivu na maumivu kiasi Gani Kwa tukio unaloenda kufanya mkuu
 
Inashangaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…