Hawa GenZ wanatuona wazee wao kama watu tuliopotea...Kwanza sijui kanionaje onaje yani....🫤
Kufa kabisaSijawahi kuumia moyo kama leo aiseee...😪
Nikweli kabisa mkuu, nipo kwa shemeji mume wa dada. Wao wamejifungia na wamewasha mziki kwa sauti ila mimi nipo hapa sebleni nimetulia tu mkuuItakua mida hii umesha shiba zako ugali bamia kisha ukashushia na juice ya miwa,
Mwenye njaa hawezi kuanzisha uzi wa hivi.
😅😅sawaSiku ukisikia nimekufa, I'm sure utaumia sana wallah....😜