makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Nov 3, 2026 #21 Ushimen said: Nikweli kabisa mkuu, nipo kwa shemeji mume wa dada. Wao wamejifungia na wamewasha mziki kwa sauti ila mimi nipo hapa sebleni nimetulia tu mkuu Click to expand... Kachungulie usikute anamuwasha na gunia la mkaa, we upo upo tu, nenda nyuma ya dirisha uone, wameogopa kugombana mbele yako, shemeji yako kaweka muziki usisikie anavyompiga dada yako 🤣😂
Ushimen said: Nikweli kabisa mkuu, nipo kwa shemeji mume wa dada. Wao wamejifungia na wamewasha mziki kwa sauti ila mimi nipo hapa sebleni nimetulia tu mkuu Click to expand... Kachungulie usikute anamuwasha na gunia la mkaa, we upo upo tu, nenda nyuma ya dirisha uone, wameogopa kugombana mbele yako, shemeji yako kaweka muziki usisikie anavyompiga dada yako 🤣😂