Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania.
Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii.
Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi mpk muda huu tunavyoongea. Mifano ya dhahiri ya uvunjwaji wa katiba hii hapa;-
1. Kuzuiwa kwa vyama vya siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara.
2. Uwepo wa covid-19 bungeni
3. Utawala wa jiwe kumuondoa ofisini aliyekuwa CAG, Prof. Assad.
4. Kuteuliwa kwa Dr. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi wakati alikuwa hana sifa. Katibu mkuu anapaswa kuwa balozi mwandamizi kama ilivyo kwa balozi Katanga, balozi Ombeni Sefue, nk. Jiwe akafanya ujanja ujanja wa kummvika ubalozi Dr. Bashiru na muda huo huo kumteua kuwa katibu mkuu kiongozi.
5. N.k (na wewe unayesoma ongezea mifano mingine usinichoshe. Kwani umenilipa?)
Kwahiyo, unapochangia hoja hii tafuta sababu nyingine siyo suala la katiba. Nchi hii katiba haifuatwi.
Marafiki wa karibu wa mzee Kikwete mwambieni chonde chonde arudi ikulu 2030.