Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania.

Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii.

Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi mpk muda huu tunavyoongea. Mifano ya dhahiri ya uvunjwaji wa katiba hii hapa;-

1. Kuzuiwa kwa vyama vya siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara.

2. Uwepo wa covid-19 bungeni

3. Utawala wa jiwe kumuondoa ofisini aliyekuwa CAG, Prof. Assad.

4. Kuteuliwa kwa Dr. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi wakati alikuwa hana sifa. Katibu mkuu anapaswa kuwa balozi mwandamizi kama ilivyo kwa balozi Katanga, balozi Ombeni Sefue, nk. Jiwe akafanya ujanja ujanja wa kummvika ubalozi Dr. Bashiru na muda huo huo kumteua kuwa katibu mkuu kiongozi.

5. N.k (na wewe unayesoma ongezea mifano mingine usinichoshe. Kwani umenilipa?)

Kwahiyo, unapochangia hoja hii tafuta sababu nyingine siyo suala la katiba. Nchi hii katiba haifuatwi.

Marafiki wa karibu wa mzee Kikwete mwambieni chonde chonde arudi ikulu 2030.
 
Arudi mara ngap tena 😂😂ya tatu au
 
Umejenga hoja kirahisi sana. Eti sasa hivi katiba haifatwi, so hakuna haja ya kuendelea kuifata.

Ukiwa msomi, yafaa ujenge hoja kisomi. Ninachojua katiba inasema after vipindi viwili vya uongozi, rais anatakiwa akae pembeni,kupisha wengine kwanza then anaweza kurudi upya (am not so sure kama nipo sahihi)

Ila kitendo cha wewe kusema katiba isifatwe, inafanya bandiko lako lote liwe invalid
 
Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania.

Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii.

Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi mpk muda huu tunavyoongea. Mifano ya dhahiri ya uvunjwaji wa katiba hii hapa;-
1. Kuzuiwa kwa vyama vya siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara.

2. Uwepo wa covid-19 bungeni

3. Utawala wa jiwe kumuondoa ofisini aliyekuwa CAG, Prof. Assad.

4. Kuteuliwa kwa Dr. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi wakati alikuwa hana sifa. Katibu mkuu anapaswa kuwa balozi mwandamizi kama ilivyo kwa balozi Katanga, balozi Ombeni Sefue, nk. Jiwe akafanya ujanja ujanja wa kummvika ubalozi Dr. Bashiru na muda huo huo kumteua kuwa katibu mkuu kiongozi.

5. N.k (na wewe unayesoma ongezea mifano mingine usinichoshe. Kwani umenilipa?)

Kwahiyo, unapochangia hoja hii tafuta sababu nyingine siyo suala la katiba. Nchi hii katiba haifuatwi.
Marafiki wa karibu wa mzee Kikwete mwambieni chonde chonde arudi ikulu 2030.
Tatizo linaloendea Siku likitoweka nchi itaendelea sana
 
Swala siyo uvunjivu wa katiba je ni kweli hakuna mtanzani mwingine Mwenye akili na umri unaomruhusu unang'ang'ania vibabu?
 
Ninachojua katiba inasema after vipindi viwili vya uongozi, rais anatakiwa akae pembeni,kupisha wengine kwanza then anaweza kurudi upya (am not so sure kama nipo sahihi)
Jielimishe hapa kwenye ibara ya 40 kifungu cha 2.
Screenshot_20221219-175024.png
 
Katiba haijasema kuwa Katibu Mkuu kiongozi lazima upitie ubalozi.
Hivi unafahamu kuwa sheria na kanuni zote mama yao ni katiba? Sijui nikisema unaelewa...!

Halafu unafahamu sabb ya jiwe kumvisha ubalozi Dr. Bashiru kabla ya kumpa ukatibu mkuu kiongozi?? (Muulize jirani yako hapo pembeni).
 
Anapendwa na watanzania wepi?
Watumishi wauma walipandishwa madaraka, vyeo na masurufu yao kuwa juu.

Vyama vya upinzani walifanya mikutano yao ya hadhara nchi nzima

Wafanyabiashara walineemeka kweli kweli
Wakulima ndiyo usiseme.

Machinga we acha tu

Nani kama Kikwete???
 
Jielimishe hapa kwenye ibara ya 40 kifungu cha 2.
View attachment 2451935
Hebu fafanua vizuri hicho kifungu cha 2. Uelewa wangu, kifungu hicho kinamaanisha kuwa rais akishakaa madarakani kwa vipindi viwili (akishachaguliwa mara mbili) kama ilivyokuwa kwa Kikwete, basi anatakiwa awapishe wengine nao waendelee. After that anaweza tena kurudi na kugombea tena (mfano sasa hivi Kikwete anaweza rudi na kugombea)

In summary,kifungu cha pili kinazuia mtu kukaa madarakani zaidi ya mihula miwili continuously. Ila hakimzuii kurudi tena na kugombea.

Huo ndio uelewa wangu, naomba ufafanuzi wako
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania.

Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii.

Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi mpk muda huu tunavyoongea. Mifano ya dhahiri ya uvunjwaji wa katiba hii hapa;-
1. Kuzuiwa kwa vyama vya siasa vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara.

2. Uwepo wa covid-19 bungeni

3. Utawala wa jiwe kumuondoa ofisini aliyekuwa CAG, Prof. Assad.

4. Kuteuliwa kwa Dr. Bashiru kuwa katibu mkuu kiongozi wakati alikuwa hana sifa. Katibu mkuu anapaswa kuwa balozi mwandamizi kama ilivyo kwa balozi Katanga, balozi Ombeni Sefue, nk. Jiwe akafanya ujanja ujanja wa kummvika ubalozi Dr. Bashiru na muda huo huo kumteua kuwa katibu mkuu kiongozi.

5. N.k (na wewe unayesoma ongezea mifano mingine usinichoshe. Kwani umenilipa?)

Kwahiyo, unapochangia hoja hii tafuta sababu nyingine siyo suala la katiba. Nchi hii katiba haifuatwi.
Marafiki wa karibu wa mzee Kikwete mwambieni chonde chonde arudi ikulu 2030.
Umejiuliza kufika 2030 JK atakuwa kikongwe mwenye umri wa miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom